Breaking News: Dr. Richard Lyimo Hatunaye tena!

Breaking News: Dr. Richard Lyimo Hatunaye tena!

Nyetk

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,648
Reaction score
1,701
Habari zilizonifikia kutoka India akilikokuwa amepelekwa kwa matibabu zaidi zinasema Daktari huyu wa pale Ocean Road na mmiliki wa Samaritan Dispensary ameaga dunia leo mchana huko India. R.I.P. Dr. R. Lyimo.

SOURCE: Mke wa marehemu.
 
hakuna kenge wala bata atakaebaki milele hapa ulimwenguni kwenye ujingaujinga kibao na matatizo lundo nenda huko ambako atupajui dokta.
 
Acha kiherehere wewe. Una haraka gani ya kuposti humu jf? Suppose ndugu zake wa karibu hawajapata taarifa? Watu wengine uwezo wa kufikiria upo mwisho wa pua zao!!!
 
Mungu akupumzishe Milele kwa amani Richard ulitoka kwa udongo utarudi kwa udongo, mavumbi kwa mavumbi R.I.P
 
hakuna kenge wala bata atakaebaki milele hapa ulimwenguni kwenye ujingaujinga kibao na matatizo lundo nenda huko ambako atupajui dokta.

Si ndio atakuwa amewassaidia kupata habai mkuu!
 
Acha kiherehere wewe. Una haraka gani ya kuposti humu jf? Suppose ndugu zake wa karibu hawajapata taarifa? Watu wengine uwezo wa kufikiria upo mwisho wa pua zao!!!

Kama amesema source ni mke wa Marehemu, ina maana ndugu wanafahamu sio rahisi mke kutoa taarifa kwa mtu mwingine kabla ya ndugu wa karibu. Pole sana Wafiwa; RIP Dr.
 
Back
Top Bottom