BREAKING NEWS: A huge bang in Manchester Arena

BREAKING NEWS: A huge bang in Manchester Arena

nintchdbpict000325974619.jpg

nintchdbpict000325974446.jpg
Hilo Bomu linawachongea vipensi!!
 
Kwani mumesahau maneno ya mwisho ya Gadafi? Alisema kuwa wakifanikiwa kumuua wajue watapambana na Ugaid milele
 
Ikitokea uarabuni ni mwarabu, hata uingereza pia ni yeye?, lets give them a break man. Kila mtu ashughulikie matatizo yake mwenyewe.
...sasa kama wenyewe wameshakiri kuwa wamehusika na aliyejivisha mabomu keshajulikana na ni hao hao wewe ni nani kuwatetea?
 
Very sad news indeed. 22 innocent people perished because of stupid person(s) who cherish the act of destroying other people's lives.

Kazi ya Mossad ili kuharibu ziara ya Rais Donald Trump wa Marekani mashariki ya Kati na haswa baada ya serikali ya Marekani kuamua kuiuzia Saudh Arabia silaha ya mabilioni.
Sad news. RIP
 
Very sad news indeed. 22 innocent people perished because of stupid person(s) who cherish the act of destroying other people's lives.
Mkuu unajua magaidi wa Islamic State huwa wanatibiwa Israeli kwenye Vita vya Syria. Pia silaha nyingi wanazotumia ISS ni za marekani zinapitia Saudh Arabia na Qatar.
Islamic State ni virus iliyotengenezwa na USA na washirika wake Uk na sasa virusi hivyo ndio vimerudi kuwashambulia. Kwenye vita vya Syria jeshi la anga la marekani inaisaidia Islamic state
 
Back
Top Bottom