u bachela noma sanaHaha, eti krwichuu, unaonekana una ufundi nao maana siyo kwa hiyo 'eksipiriensi'..!!
Wewe mchana unapata "Breakfast" na usiku unapata "lunch" nayo ni maendeleo; mkimaliza kusomesha huo uliyemsomesha kama hatakukataa atakufafanulia mlo wa asubuhi unaitwaje; wa mchana unaitwaje na wa jioni unaitwaje. Tena kama utamsomesha mpaka chuo kikuu atakufundisha wakati wa mlo unachoanza nacho kinaitwaje na baada ya mlo unachomalizia nacho kinaitwaje.Karibuni mapishi ya kibaria View attachment 1240989
fanya mpango ununue bakuli ya mboga mkuu.Karibuni mapishi ya kibaria View attachment 1240989
Huyo kwenye avatar ni wewe?[emoji7]Kingereza tunakipenda ila kimetupenda zaidi
Haahha noNaona mambo ya brunch au siyo
Ni 400 tuu kwanu hamja ona izo nyamaLazima katoka buza huyu
Asubuh sikula kwa iyo. iyo kwangu ilikua breakfastWewe mchana unapata "Breakfast" na usiku unapata "lunch" nayo ni maendeleo; mkimaliza kusomesha huo uliyemsomesha kama hatakukataa atakufafanulia mlo wa asubuhi unaitwaje; wa mchana unaitwaje na wa jioni unaitwaje. Tena kama utamsomesha mpaka chuo kikuu atakufundisha wakati wa mlo unachoanza nacho kinaitwaje na baada ya mlo unachomalizia nacho kinaitwaje.
Zipo kibaofanya mpango ununue bakuli ya mboga mkuu.
Wabongo kweli nyoso, wabongo balaa 😂Aisee. Natumai umekipasha vizuri!
pachafu mnoKaribuni mapishi ya kibaria View attachment 1240989