Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,545
- 35,405
Ndo kilichobaki tuDawa ni kuwapotezea tu
Ndo kilichobaki tuDawa ni kuwapotezea tu
Au mwambie akupe manzi wake umuonyeshe kuwa mjini patabaki kuwa mjini tuNdo kilichobaki tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mjini mjini tuAu mwambie akupe manzi wake umuonyeshe kuwa mjini patabaki kuwa mjini tu
Bukta ya EPLHiyo ni bukta ya barcelona au? Alafu dar kuna umeme hivyo hiyo ni all the way from mainland!
Waliendaga wapi sasa?
OK, naona wewe unajua kiswahili vema, hivi wewe ulisomeaga wapi? Maana naona walimu wako walikuaga na kazi ndogo sana mkuu!!!Comrade, hivi 'waliendaga' ni Kiswahili kweli?! Sijui bwana, ila naona vijana wengi siku hizi wanatumia -ga mwishoni mwa karibu kila neno la Kiswahili: 'Alisoma-ga', 'tunatembea-ga', 'wanakula-ga', 'wanapeana-ga; ;tunasoma-ga' na kadhalika na kadhalika. Watangazaji wa TV nao wanasema au kuzungumza hivyo hivyo (kwenye vipindi vyao vingi hasa vile vya majadiliano) kwa kuweka '-ga'. Ni magazeti tu ambayo yanajitahidi kuondokana na '-ga' na hii ni kwa sababu ya 'editors' wao wako makini. Yaani inaudhi kweli kweli. Kiswahili kizuri kwa hoja yako ni 'walikwenda wapi?'. Hakuna Kiswahili cha 'waliendaga wapi'.
OK, naona wewe unajua kiswahili vema, hivi wewe ulisomeaga wapi? Maana naona walimu wako walikuaga na kazi ndogo sana mkuu!!!
We unajuaje namna za udindaji za wanaume mpaka unasimulia kwa ustadi hivi??WANAUME WA DARISALAMA HAWAKO VIZURI KATIKA NGUVU ZA KIUME WENGI WANA BOOST NA DAWA ZA KUDINDIA NDIO MAANA WAMASAI KIBAO DAR WAKIUZA BOOSTER. LAKINI MEN WA MIKOA NI NOUMA WANADINDA HATA WAKIWA WANALIMA.
Vitamini?pilipili[emoji1] [emoji1] [emoji1]Msosi wa mwanaume wa Dar una;
1. Wanga
2. Protini
3. Vitamini,
Huyo wa mkoani kajaza Wanga tu! Hivyo, ataishia kupata wodeme tu.
Ila naomba niseme hivi, niko Dar kutafuta tu.
Mimi sijasema pili pili ina vitamini.Vitamini?pilipili[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Usijali mkuu, si unajua tena hapa ndani stress free?Comrade, naona sasa unani-joke. Nilitoa angalizo hilo kwa nia nzuri kabisa. Sikuwa na nia ya kumdharau mtu, naomba radhi kama wako niliowakwaza kwa andiko langu. ....'walikuaga', 'ulisomeaga', mmmh, sina comments.
Ndoo tabu namalaMimi sijasema pili pili ina vitamini.
Huoni kuna Limao hapo kwa ajili ya supu?!
Nitajie ingredient 1 tu ya pili pili na kazi zake mwilini bila ku google.
Acha ujuaji wewe!