Breakfast ya wanaume wa Dar V/S wa Mikoani!!

Tusitoke mapovu wakuu since Dar ndio kitovu cha biashara katika nchi yetu so hata wao wakija huku sidhani kama huwa wanakula hivyo vyakula vyao. Isitoshe lazima kuwe na tofauti kati ya Dar na mikoa mingine kwa sababu hapa ndio kwenye maendeleo.
 
Thread ilitakiwa heading iwe Wanaume wa mjini vs wa vijijini, sidhani kama wa Mbeya mjini, Arusha mjini, Dodoma na kwingineko hiyo ndo breakfast yao
 
Duh hapo ni hatari. At least na kikobe cha maziwa au chai ya rangi sababu si utakabwa? Karanga kavu, mhindi na viazi vikavu. Je wakienda no. 2 si kelele huko uani?
teh teh...umetisha mkuu
 
Back
Top Bottom