Breakfast ya wanaume wa Dar V/S wa Mikoani!!

Breakfast ya wanaume wa Dar V/S wa Mikoani!!

Comrade, hivi 'waliendaga' ni Kiswahili kweli?! Sijui bwana, ila naona vijana wengi siku hizi wanatumia -ga mwishoni mwa karibu kila neno la Kiswahili: 'Alisoma-ga', 'tunatembea-ga', 'wanakula-ga', 'wanapeana-ga; ;tunasoma-ga' na kadhalika na kadhalika. Watangazaji wa TV nao wanasema au kuzungumza hivyo hivyo (kwenye vipindi vyao vingi hasa vile vya majadiliano) kwa kuweka '-ga'. Ni magazeti tu ambayo yanajitahidi kuondokana na '-ga' na hii ni kwa sababu ya 'editors' wao wako makini. Yaani inaudhi kweli kweli. Kiswahili kizuri kwa hoja yako ni 'walikwenda wapi?'. Hakuna Kiswahili cha 'waliendaga wapi'.
ongezea na tupogo!
 
WANAUME WA DARISALAMA HAWAKO VIZURI KATIKA NGUVU ZA KIUME WENGI WANA BOOST NA DAWA ZA KUDINDIA NDIO MAANA WAMASAI KIBAO DAR WAKIUZA BOOSTER. LAKINI MEN WA MIKOA NI NOUMA WANADINDA HATA WAKIWA WANALIMA.
Experience umeipata wapi kama hawajakuchomeka nao?
 
Avatar yangu inajieleza, mi ni Team Wanaume wa Dar.

cha ajabu nikienda mikoani mademu naburuzaaa mpaka wanaume wao wanatishia kuniroga...nikidanganya tu kumuoa na kuja naye Dar, lazima nibinjuke naye,

halafu nahonga vilevile kwa yule mbishimbishi...eenhe si hela ninayo?

No stress
 
Back
Top Bottom