Breakfast ya matunda

Pamoja na kuwa na Machine lakini pia alieanda hayo matunda presentation iko poa sana
 
s-l225.jpg


s-l1600.jpg


Bei haifiki 30,000 mkuu
Zipo Bongo?
 
Nilidhani unauza mamii, ahsante sana wengine matunda hadi Dr aseme
Mumii ninakuelewa, mimi mwenyewe zamani kidogo nilikua ninakohoa sana, dada mmoja aliniambia nile matunda kwa wingi yeye alikua nurse. Kwakweli ilikua dawa na nilijenga tabia kutoka pale.
 
Jamani hiyo mashine ndio inakata matunda yote hayo style tofauti au itabid nizinunue mashine tofauti tofauti?
 
Jamani hiyo mashine ndio inakata matunda yote hayo style tofauti au itabid nizinunue mashine tofauti tofauti?
Hii machine ni kwaajili ya nanasi, matango kuna scoop kama ya ice cream lakini inaacha hiyo shape ukichota.
 
Back
Top Bottom