Tumeona una jiko kali la Gas apo mkuuKitu tayari kwa kuliwaView attachment 1586684View attachment 1586684
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sema frampen (frying)nyeusi Sana
Ongea na mm nikuongezee moja sample ya hiyo sufuria[emoji1787]Ndio mkuu natumia hadi itoboke ndio ninunue nyingine
Ningekuona unapulizia moto chai au supu ichemke nimesema kweli upo Bush!!
Mademu mnapenda sana Kitonga kila kitu mnaomba omba tuSio mbaya mkuu ukaninunulia lingine, nitashukuru sana
Bibi nae kwa babu ni demu. Mimi pia ni babuMimi ni bibi, bibi yako unamwitaga Demu?
Umeunguza chapati
Hujaona Pisi KaliUwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Naomba nikuwowe!