Breakfast kigetogeto....!!!!

Breakfast kigetogeto....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,130
Wakuu leo nimekomaa mwenyewe kibishi kutoa breakfaa magetoni baada ya shemeji yenu kukimbia kisa hawezi maisha ya sukari guru, nikaona sio kesi mi mwenyewe shefa matata my mama taught me a lot of things including cooking while I was still young.
53686119fba4dfb5e564a6b7283e225b.jpg
 
Umeniongezea njaa.....nimetoka usingizini
 
Safiiìiiiii....mkeo atapata raha
 
Na hizo chapati umepika wewe ama za kununua?
 
Wakuu leo nimekomaa mwenyewe kibishi kutoa breakfaa magetoni baada ya shemeji yenu kukimbia kisa hawezi maisha ya sukari guru, nikaona sio kesi mi mwenyewe shefa matata my mama taught me a lot of things including cooking while I was still young.
53686119fba4dfb5e564a6b7283e225b.jpg

Kama ni ww ndo umepika...hongera sana
 
Ndio.

Naona chapati zimepoteza kabisa mduara wake wa asili.
 
naona kuna kikombe cha uji wa ulezi. ukishushia na uji utakuwa umetengeneza sabuni tumboni
 
Naona chai imekolea sukari gulu mpaka imefanana rangi.
 
Ebwana nimeitamani kinoma,uko vizuri mkuu.
 
Mkuu umetisha, ila chapati zina pembe kama mstatili
 
Back
Top Bottom