mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,527
- 10,538
Chapati hazikaangwi bali zina chomwa.Chapati hazipikwi mkuu, zina kaangwa, yeah I did em by myself
Chapati hazikaangwi bali zina chomwa.Chapati hazipikwi mkuu, zina kaangwa, yeah I did em by myself
Hahahah, made my day mkuu. Bakuli ndogo hivyoMbona mchuzi wa Thupu umejipunja???
Halafu nyama kidooogo au ndo na za mboga mchana?
Any way enjoy ur meal,,,Tchaoooo
Gongea na selfiee!!
Nimekubali mkuuChapati hazikaangwi bali zina chomwa.
Kama nyama vileChapati hazikaangwi bali zina chomwa.