Diplomatic Imunnity
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,179
- 320
Mkuu unapata tabu kuuliza wakati unaona kabisa hizo chapati ni chapati vumbi mtoto wa chumba chapili katumwa kununuaNa hizo chapati umepika wewe ama za kununua?
Mkuu unapata tabu kuuliza wakati unaona kabisa hizo chapati ni chapati vumbi mtoto wa chumba chapili katumwa kununuaNa hizo chapati umepika wewe ama za kununua?
ha ha namzingua tuAcha wivu jamani,loooooh!
Nashkuru mkuuEbwana nimeitamani kinoma,uko vizuri mkuu.
Hahaha daah haya mkuuMkuu umetisha, ila chapati zina pembe kama mstatili![]()

Kweli mkuu, I cook by myself
Chapati hazikaangwiii mkuu zinachomwaChapati hazipikwi mkuu, zina kaangwa, yeah I did em by myself
Hahaha, ndio mkuuMkuu unajua sana kupika ndo maana mashemeji wanakimbia, hutakiwi ujue kupika kiasi hicho
Nimekubali mkuuChapati hazikaangwiii mkuu zinachomwa
YebaaaaaaaaWakuu leo nimekomaa mwenyewe kibishi kutoa breakfaa magetoni baada ya shemeji yenu kukimbia kisa hawezi maisha ya sukari guru, nikaona sio kesi mi mwenyewe shefa matata my mama taught me a lot of things including cooking while I was still young.
![]()
Mwandikie shemeji verse naamini atarudi,nilikuona kwenye Uzi flani una battle na wana,Nimekubali mkuu
Daah Kwel mzee wa kaziMwandikie shemeji verse naamini atarudi,nilikuona kwenye Uzi flani una battle na wana,
pimia hii ngoma ya lily Wayne feat rick Ross shot to the heart,manzi anabembekezwa arud hmeDaah Kwel mzee wa kazi
pimia hii ngoma ya lily Wayne feat rick Ross shot to the heart,manzi anabembekezwa arud hme
Mkuu hua navimix natafuna kama bagaSasa hivyo vipande vya tikiti na ovakado ikausu nini? Kuweka juu ya chapati na huku pembeni hapo naona sahani ya vipande vingine
Sijaona tofauti ya mkate na chapati mkuu!Wakuu leo nimekomaa mwenyewe kibishi kutoa breakfaa magetoni baada ya shemeji yenu kukimbia kisa hawezi maisha ya sukari guru, nikaona sio kesi mi mwenyewe shefa matata my mama taught me a lot of things including cooking while I was still young.
![]()