Breakfast bomba

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,438
Reaction score
857,729
Kifungua kinywa (breakfast) bomba ni kipi?
 
Hii inadhihirisha hukuwa na cha kuandika, umefikiria tangu asubuhi uandike nini leo, sa ivi ndo umepata ukaanzisha haka ka thredi!
 
Hii inadhihirisha hukuwa na cha kuandika, umefikiria tangu asubuhi uandike nini leo, sa ivi ndo umepata ukaanzisha haka ka thredi!
Kweli kabisa Mkuu, nakubaliana na wewe na ndio maana nawewe umepata cha kuchangia lakini naamini vile vile hujapitia nyuzi nyingine humu jamvini ungeniona ulichofanya ni kukurupuka sikulaumu Najua mwezi umepiga kona tena kwenye down kali hivyo stree c haba
Kumbuka; Even a fool has a story to tell
 
Breakfats nzuri hutegemeana na afya yako; mfano kama wewe ni mjamzito kula matunda, chai ya maziwa na glasi moja ya maji. kama mwanaume mwenye afya piga push ups 15, simama pata chapati 2 na supu nenda kibaruani.
Onyo: punguza kuweka threads za kitoto pia.
 

Sawa Mkuu sikujua kuwa thread zina umri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…