MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,587
Red- Mh why break then ?how can it be impliedly? u r talking about serious relationship here... lets say the guy proposed but they are not engaged because the girl thinks it too early to talk about marriage or may be she dont have the feeling...
One more thing the guy is really a good guy...
Weeeeeeeeeeeeeee.................... unajuwa unaweza ukaenda hospitali na kaugonjwa kako mwenyewe ndo unakona kakubwaaaaaaaa.............. ila ukifika kule unaweza ukarudi maana wengine wako kwenye hali mbaya zaidi yako........... TUKIAMUA KUWA HONEST NA KUANZA KUSIMULIANA KILA MTU ALIKOPITA HADI SIKU ANAAMUA KUOWA..............hakyanani tutakimbiana hapa................. Maana kuna wengine hadi shetani atawashangaaa na kuwaogopa kabisa. YA TAIGA WUUDI HAYAhadi kuamua kuoa most of men huwa wanakuwa kwenye tabia njema tu...!
for now my reason NOT TO HAVE RELATIONS(SEX) nje ni NDOA
ninaiheshimu ndoa yangu na ninampenda mshiki.FINAL
Man, nkambaku, mwanaume, mgosi, bhabha, .....etcThanks my friend, by the way... wewe ni he au she? maana hilo jina ni kama "botanical name" vile?
hiyo black hiyoo.....!NI YA TAIGA WUUDI HAYO,au sio?!taiga wuudi/ashley cole au BECKHAM hawezi kuwa icon ya relations au wanaume wenye ndoa zao.kwasababu wapo wanaume(infact MAJORITY) ambao wanaziheshimu ndoaWeeeeeeeeeeeeeee.................... unajuwa unaweza ukaenda hospitali na kaugonjwa kako mwenyewe ndo unakona kakubwaaaaaaaa.............. ila ukifika kule unaweza ukarudi maana wengine wako kwenye hali mbaya zaidi yako........... TUKIAMUA KUWA HONEST NA KUANZA KUSIMULIANA KILA MTU ALIKOPITA HADI SIKU ANAAMUA KUOWA..............hakyanani tutakimbiana hapa................. Maana kuna wengine hadi shetani atawashangaaa na kuwaogopa kabisa. YA TAIGA WUUDI HAYA
Hapo kwenye blue..................... why for now your reason NOT TO HAVE RELATIONS(SEX) nje ni NDOA................. Does it mean kwamba katika hali ya kutokuwa na ndoa ..................... wewe ni kwa kwenda mbele....????
Thank you man... telling them the truth sounds practical...although it aint gonna be easy...Mimi bwana I think if you want to break .... and you have a reason to do so just tell the person. Ofcourse you will hurt his/her feelings but it is better than kuanza kumfanyia visa kama not calling, cant see you now, am buzy- these ones hurts them more than the direct kick. Because the lousy excuses you give tends to bear false hopes that your partner will think that it will pass hence continue to hang on for a longer time -huku akiendelea kuumia na vijisababu vyako.
Tell him/her kuwa you dont think if it is working and you dont believe it will no matter how hard you two will try hence no need to try. Atajaribu kubembeleza but ukisimama kwa kidole gumba the message will stick within a short time.
But Noname- why do you want to break up?
how can it be impliedly? u r talking about serious relationship here... lets say the guy proposed but they are not engaged because the girl thinks it too early to talk about marriage or may be she dont have the feeling...
One more thing the guy is really a good guy...
Hapana kwakweli, nakubishia. Hukumpa moyo wako. Ulimwazima tu. Uliyempa ni huyu hapa chini. Period!nimeamka salama dadaake!iko poa IN A FULL FACT MOOD
unajua ishu ya break-up inanihusu moja kwa moja!
''ONCE UPON A TIME,i gave somebody my heart AND SHE HURT ME!...but SHE NEVER SAID GOODBYE...''
hadi kuamua kuoa most of men huwa wanakuwa kwenye tabia njema tu...!
for now my reason NOT TO HAVE RELATIONS(SEX) nje ni NDOA
ninaiheshimu ndoa yangu na ninampenda mshiki.FINAL
Man, nkambaku, mwanaume, mgosi, bhabha, .....etc
Thank you man... telling them the truth sounds practical...although it aint gonna be easy...
Why Do I wanna break up? boy.... its a matter of heart u know it doesnt feel right...
dont tell the person that you are breaking up with him/her... trust me it never worked for quite a substantial number of people because they end up making it up!!
If you want to break-up just reduce contacts, slowly look for a replacement or a comfort zone and then later (and only if asked) then you can break the news, politely and very friendly, giving a chance for future encounters...
hehehehehe dont try, its not easy!si u just tell the person the truth?it will alwaz set u free!If u dnt say unaogopa nn?
hehehe!mafua ya ndege viipiiii?🙂Hapana kwakweli, nakubishia. Hukumpa moyo wako. Ulimwazima tu. Uliyempa ni huyu hapa chini. Period!
hehehehe! big brother!Thanks my friend, by the way... wewe ni he au she? maana hilo jina ni kama "botanical name" vile?
Kweli kabisaaaa................maana utatoka huko utokako na makonfidensi yako ya kumpiga mtu chini..........lakini ukimuona tuuu ............... kila ktu kinalegea na ghafra................... HIGH SWITIII AI LAVU YUU MOA DHANI YESTADEI............hehehehehe dont try, its not easy!
...well said bro!
Mapenzi ni emotional account. Njia pekee ya kuifilisi account ni ku withdraw kidogo kidogo mpaka siku unakuta 'there is no sufficient funds in your account!' ...mnabakia marafiki tu, hata kama wakinafiki!
kibongobongo mtu hakwambii kitu hivyo visa tu mwenyewe utakoma,experience kwa demu kwanza anakunyima uroda,hata uombe upige magoti hakupi,pili atanza kuchelewa kurudi hm,hakujali tena,hakusikiliza kila unachoongea anaona ni upuuzi,then anaanza kukuchafua kwa marafiki ambao wanawafahamu,halafu anatafuta bwana mwingine wa pembeni na kujirusha sana kurudi usiku mwingi ukimuuliza ulikua wapi unaambulia mitusi mpaka majirani wanaamka kuwasikiliza,halafu ataanza kukusingizia umetembea na demu huyu mara yule,usishangae hadi housegirl kama yupo,kisha ataanza kuwasimulia wazazi wake na wako story za uongo kwamba umebadilika humjali unatembea na wanawake wengine,unalewa sana unalala nje,akiitwa kusuluhisha hataki,ukiwa bado mgumu anaanza kumleta bwana mpya mpaka hapo hm anamshusha na gari then wanapiga story dakika kadhaa kisha jamaa anateleza tartiibu,mpaka hapo kama hujajitundika lazima mwenyewe utatimua bila kupenda maana kinachofuata ni muder case.How do you break up with someone? U know may be you just dont have the feeling anymore or u never really love them the way they loved u... or whatever reason it is but u wanna break up...
How to do it?
Financially you are right........ lakini when it come to reality..........bora ukaachana naye maana utawaza mabaya kila siku..........yaani kama ingekuwa kila wazo moja linatoa 1mm ya damu toka mwilini mwako............basi baada ya muda fulani utaishiwa damu. THE WAY I SEE KWENYE MAPENZI NI KWAMBA HAKUNA KITU KIBAYA KAMA PSYCOLOGICAL TORTUREWHAT i don't understand ni kwamba unakaa na mtu over ten years then mwaka wa kumi na mbili YOU BREAK-UP
naona ukifanya COST-BENEFIT ANALYSIS hapo ni bora ukaendelea nae tu