Break Point..

Ngoja...
TETESI:
Brake point ya Posta inaelekea kufunguliwa muda si mrefu...
**nitapita hapo baadae kupata uhakika zaidi!
 
Jamaniii..nini kimetokea hapa!??????

Nimepita maeneo ya Break point ya posta naona kibao cha "Samahani kwa usumbufu" yaani wamefunga kabisa aisee..
Sasa mimi Ijumaa nitajiliwazzia wapi?
Jamani...patafunguliwa lini!??

Pale kuna "Mgongano wa Kimaslahi"

TRA wameifunga ile "bar" kwa kushindwa kutmia mashine za electoniki za kutoa risiti aka EFD : Scenario No1.
Daudi aligombana (most likely alikataa kutoa rushwa)na maafisa wa TRA walikuja kukagua vitabu vyake vya ulipaji kodi : Scenario No2.
Kuna mwekezaji anataka eneo hilo kwahiyo hizo choko choko za TRA ni kwa manufaa ya huyo "Investor" : Scenario No3.

E.t.c

All in All BRAKE Point "ya Posta" imefungwa!
 
we tena ndo ulikuwa unapenda sana yale mabonge ya pale mpemba leo unasema huduma zao zilikuwa mbovu sema mavyakula yao kama maji tu k mae maana mzee basi tu unajua tz yetu kila kitu poa
 
Pale kuna "Mgongano wa Kimaslahi"

TRA wameifunga ile "bar" kwa kushindwa kutmia mashine za electoniki za kutoa risiti aka EFD : Scenario No1.
Daudi aligombana (most likely alikataa kutoa rushwa)na maafisa wa TRA walikuja kukagua vitabu vyake vya ulipaji kodi : Scenario No2.
Kuna mwekezaji anataka eneo hilo kwahiyo hizo choko choko za TRA ni kwa manufaa ya huyo "Investor" : Scenario No3.

Scenario 2: Naikataa...i know Daudi,lol!

Scenario 1 ni reason ya scenario 3 and that is the one I choose to take.

I heard inafunguliwa tena leo...wat a relief it will be!
 
Yale mabwabwa hayakutani tena pale kila ijumaa?
 
Ukitoka Mwenge elekea Ubungo.....zunguka kiplefti cha kwenda savei halafu kama unarudi tena mwenge ukitumia service road mpaka ilipokuwa SILENT INN zamani.....muulize Milton atakuonyesha mamemba
CAMARADERIE, one day wakati wa mgao nikiwa Mlimani City, kuna kitu very important nilitaka kukiangalia on TBC-1 news, nikazunguka hapo Mlimani City kote tv zao ni dish tuu tena wakibeem ughaibuni. Ndipo nikatoka nje na kutembelea baa baada ya baa zenye genereta, just by chance, ndipo nikaingia Calabash na kuikuta TBC kule TV ya ndani, nikakaa na kuagiza kinywaji, mimi kwa kawaida hutumia 'kasichana' na tonic.

Nikiwa naendelea kuangalia TBC huku sijamaliza kinywaji changu, ghafla mhudumu wa vinywaji akaja mezani kwangu na kunishushia 'mzee mzima wa mikono chini', akanijulisha ni offer toka meza fulani!. Ni ustaarabu tuu wa kawaida, ukipigwa offer bar, ujue imetoka wapi na angalau kuonyesha appreciation japo ya asante, ndipo nilipojisogeza meza husika, nikasalimia na kutoa shukrani na ni hapo ndipo mmoja wa wamiliki akajijulisha wako patners na Milton na mimi kupafahamu rasmi hapo.

Huduma ni bomba, chakula nyama choma bomba ila pia ni RV bomba ya kukutana na long lost friends!, sasa nitatinga tena ki jf, jf zaidi.

Thanks.
 
@Pasco:

Katika PUB "zenye akili" hapa Dar CALABASH ni mojawapo - Milton & Co wanaonekana kuwa na moyo wa kujali wateja - I hope wataendelea hivyo hivyo..
 
gosh .... nipo mbali ..... umenikumbusha goulash soup ya pale .... si mchezo
 
@Pasco:

Katika PUB "zenye akili" hapa Dar CALABASH ni mojawapo - Milton & Co wanaonekana kuwa na moyo wa kujali wateja - I hope wataendelea hivyo hivyo..

Mkuu...nitakuwa hapo leo jioni nkitoka job...
ntawajua tu kwa maongezi yenu!!!
Hivi mnaitana majina yenu au haya hapa!?? Mi nikija napayuka tu..Baba Enock..atakayegeuka tu ndo wewe!!!
 
CAMARADERIE, one day wakati wa mgao nikiwa Mlimani City, kuna kitu very important nilitaka kukiangalia on TBC-1 news, nikazunguka hapo Mlimani City kote tv zao ni dish tuu tena wakibeem ughaibuni. Ndipo nikatoka nje na kutembelea baa baada ya baa zenye genereta, just by chance, ndipo nikaingia Calabash na kuikuta TBC kule TV ya ndani, nikakaa na kuagiza kinywaji, mimi kwa kawaida hutumia 'kasichana' na tonic.

Nikiwa naendelea kuangalia TBC huku sijamaliza kinywaji changu, ghafla mhudumu wa vinywaji akaja mezani kwangu na kunishushia 'mzee mzima wa mikono chini', akanijulisha ni offer toka meza fulani!. Ni ustaarabu tuu wa kawaida, ukipigwa offer bar, ujue imetoka wapi na angalau kuonyesha appreciation japo ya asante, ndipo nilipojisogeza meza husika, nikasalimia na kutoa shukrani na ni hapo ndipo mmoja wa wamiliki akajijulisha wako patners na Milton na mimi kupafahamu rasmi hapo.

Huduma ni bomba, chakula nyama choma bomba ila pia ni RV bomba ya kukutana na long lost friends!, sasa nitatinga tena ki jf, jf zaidi.

Thanks.

Anaitwa LAWRENCE NDANSHAU.......toka zama zile LION HOTEL iko juu
 
Mkuu...nitakuwa hapo leo jioni nkitoka job...
ntawajua tu kwa maongezi yenu!!!
Hivi mnaitana majina yenu au haya hapa!?? Mi nikija napayuka tu..Baba Enock..atakayegeuka tu ndo wewe!!!

Wewe njoo muulizie muhudumu anaitwa DIANA mambo yako yatakuwa mswano......ukiita baba enock wanaweza kuja watu kumi
 
Mkuu...nitakuwa hapo leo jioni nkitoka job...
ntawajua tu kwa maongezi yenu!!!
Hivi mnaitana majina yenu au haya hapa!?? Mi nikija napayuka tu..Baba Enock..atakayegeuka tu ndo wewe!!!

teh teh teh usije onekana chizi tu.
 
Back
Top Bottom