Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,941
- Thread starter
- #41
Wewe njoo muulizie muhudumu anaitwa DIANA mambo yako yatakuwa mswano......ukiita baba enock wanaweza kuja watu kumi
Hahahah...i thot nikiita Baba Enock, alafu nikaita Camaraderie then niite Acid kisha MTM anaeza kuitikia mtu huyohuyo!lol
Poa basi tutamtafuta Diana...kwa hiyo yeye anawajua wote!??
***
Niliskia Paw ni wa kike, inawezekana ndo huyohuyo moderator wenu mpaka huko!??
***