donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Hamna mkuu ukijitutumua siku moja moja sio mbayaVita ya uchumi haijakugusa kabisa,,, Big up
Mwanangu nitumie iyo juice ya Embe nitengeneze cocktail
Mkuu sepetu cha mtoto. Yaan kama yako weweWe jamaa utakuwa na matako makubwa kama wema sepetu
Usiwaze chief. Ma weeknd cocktail muhimuMwanangu nitumie iyo juice ya Embe nitengeneze cocktail
Kaka zambarau daaah
Yes, ni kwamo mkuuSio home kwako apo
SawaAlaf ole wako uje humu ulalamike unakojoa haraka mara nikipiga moja crudii tena ooo mara jamaa hainuki kabisa
Nimeshakunote
HahahaaaaVita ya uchumi haijakugusa kabisa,,, Big up
Huku kwetu ndio tunaamkagahna hivi vitu!!Kaka zambarau daaah
mzee una fungus mkonon kamuone dr huo co mkono wa kawaida
Hahaha si fungus heroo niliamkia zizini !!mzee una fungus mkonon kamuone dr huo co mkono wa kawaida