Vieloon
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,520
- 695
- Thread starter
- #161
Hakuna Simu wala laptop Tzee, zinazoletwa na wafanyabiashara kutokea South America, Nying ni China na Dubai, na hiz za kutokea nchi km South Africa na Uk ambazo ni more geniune na za ubora zaidi....UMESEMA MZIGO TOKA SOUTH?....AMERICA AU AFRICA?
KAMA AMERICA SINA SHAKA...ILA KAMA AFRICA..MNHHHHH MIE NAOMBA NISIWE MTEJA WAKO...WAUZIE WASIOYAJUA YANAYOTOKEA SOUTH AFRICA NA HASA KWENYE HIZO SIMU NA LAPTOPS NA IPADS.
Kwenye Tatzo lako la bidhaa kutoka South Afrika ungeweka wazi, ni mbovu? Hazidumu? Fake au?? Weka wazi kwa msaada wa wengne!!
Kifupi tu ni kwamba bidhaa za south Africa ni bora kuliko zinazoingia popote Africa hata zilizopo madukani kwa wahindi hapa Tanzania,
Wewe unaonekana ulijihusisha au ulinunua Bidhaa ambazo ni Mtumba alimaarufu km secondhand (Used)...ambazo zinakuwa zishatumika kule au kuibwa.
ACHA UPOTOSHAJI, NUNUA SIMU MPYAAA UONE KM ITAKUSUMBUA.
Nitafute ujipatie moja ya ukweli OG..#0654776976.