Habari Mkuu,Mkubwa,
inakuwaje simu mpya umezishika mkononi nje ya maboxi yake? na nyingine zimebandikwa ma screen protector tayari kama hiyo samsung, na hiyo iPhone ina ki insignia cha apple kina rangi ya bendera za South Afrika inakuaje hapo? Ni used ama ni mpya unazitoa kwenye boxi unazirudisha?
Mkuu, umeingia mitini?
Potential customer nina swali huku, hizo simu ni mpya au ni refurbished?
Simu mpya huwa haishikwi mkononi wala kuning'inizwa ubaoni, wala hazibandikwi urembo wa bendera za South Africa, bali zinakuwa kwenye boxi lake. Na lile box lina kagundi ka plastiki au ka shaba, ukikakata kale ni kwamba simu inaitwa open box, inakuwa kundi la used. Kwa sababu kwa nini ilitolewa kwenye boxi kama sio kwa kutumika?
Tunaomba ufafanuzi.
Natumai umenielewa vyema Mkuu Tindikali...km una maswali zaid nichek 0654776976.
Millioni 950??au nimeona vibaya??samsung s6 edge 950 million..... SERIOUSLY?????
Nilishangaa sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hah hah hah writing error kaka
Ndani ya siku mbili unapokea mzigo wako,Nipo Moshi mjini. Ntapata huduma ndani ya muda gani nikitaka kuagiza
Microsoft 650 (Nokia lumia 650) ni shilingi ngapi ?Brandnew ni 1.6mil
Mzigo mpya wa simu kali za kisasa, tablets, ipads na laptops umeingia! Wahi ujipatie kwa bei cheee kabsa kuliko popote pale tanzania hii...0654776976
VUNJA BEI: BEI IMESHUKA:Ninauza Smartphones za kisasa, Originals tu kwa bei Poa, mzigo unaingia kutoka South Africa kila week, Simu zote zinakuwa mpyaaa na vifaa vyake, pia ni Guaranteed, kwasasa kuna smartphones zifuatazo:
Sony xperia z3, 16GB@550k
Sony Xperia M4, USA version, 16GB @ 500k
Sony Xperia z5, 32GB @800k
Sony Xperia z5 Premium, 32GB @1.1mil
HTC One M8, 32GB @ 550k
HTC Desire Eye, 16GB @650k
HTC One M9, 32GB @750k
Huawei P8 lite, 16GB @ 400k
Huawei P8, 64GB @ 600k
LG flex 2, 16GB @600k
LG G4 styles, 16GB @600
LG G4 leather backcover, 32GB @650
Iphone 6, 16GB @950k
iphone 6 plus, 16GB @1.3mil
Iphone 6s, 64GB @1.4mil
Iphone 6s Plus, 16GB @ 1.4mil
Samsung S5, 16GB @500k
Samsung S6, 32GB @700k
Samsung S6 edge, 64GB @950k
Samsung S7, 32GB @1.1mil
Samsung S7 edge, 32GB@ 1.35mil
Samsung S6 edge plus, 32GB @1.2mil
Samsung Note 3, 32GB @ 500k
Samsung Note 4, 32GB @ 700k
Samsung Note 5, 32GB @ 1.1mil
.......etc.....
licha ya simu pia nina tablets, ipads, laptops, Camera etc.
[HASHTAG]#Ukihitaji[/HASHTAG] mzigo unaweza kufika ofisini kwangu Kariakoo Pia unaweza letewa ulipo.
# kwa maelezo zaidi unaweza kunipigia au kunitext kwa +255654776976 au kupitia email: vieloon@gmail.com
View attachment 349880View attachment 349881View attachment 349883View attachment 349885View attachment 349886View attachment 349887
[/QUOT![]()
Ninazo mkuu ila kwa sasa sipo Dar...nimesafiri!! Ila km wewe upo Dar na unaweza kufika kariakoo naweza kukuelekeza pa kuipata hiyo betri..nichek kwenye whatsapp
kaka...refurbished i5s 32GB unatoa kwa ngapi kama unayo?Ndani ya siku mbili unapokea mzigo wako,
mfano; ukihitaji cm ukakamilisha malipo yako leo asubuhi , jion inapelekwa pale ubongo katka ofisi za mabasi, unatumiwa code namba ya mzigo, asubuhi inapakizwa kwenye Dar Express jioni unapokea hapo moshi kwenye ofisi za bus husika.
Km una maswali zaid nitafute tu kwenye namba hii 0654776976
Aisee,Mkuu hapa ndio bei umeshusha hatari simu kali ila bei zako ni juu sana.ahsa
We umezoea used si ndio ??[emoji3] [emoji3] ..wahi pale Aggrey ukatapeliwe...maana mjini ukiona unapata kwa unafuu saana usishangae ukawa unapatikana wewe..Siku njema!!Mkuu hapa ndio bei umeshusha hatari simu kali ila bei zako ni juu sana.ahsanteh