Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

S6 zako unaziuzaje nahitaji moja
S6 mpyaaa kabsa za gold/white color za storage ya 32GB na RAM 4GB nauza 750k, Dukani bei halis ni 1.2mil so unakuwa umesave km 450k, nichek kwe 0654776976,
361cb917ef8d80a940ec27dad1406bb0.jpg
5807dc6b2989ea67b3ce89537950686e.jpg
,
84985ec4ecaad259acce77569f0c91a2.jpg
576e32664aea861ee89b57d27d9d1c07.jpg
dc2f8ec45a8b57b44c69b438da49b5a7.jpg


Pia nina Galaxy S6 edge, Special Edition, ya storage ya 64GB na Ram 4GB, nauza 1mil.
c85514750c8891e59c2c83c3a73a8955.jpg
8d975814c194e8d01eccd6d13ea08875.jpg
82f99e7574519b7a80602b2c488ab5f9.jpg
a90277550aa8468743805a7a39d7244b.jpg
 
samsung s6 edge 950 million..... SERIOUSLY?????
Ndio, ingawaje mwenye pesa pungufu na maongezi yanaruhusiwa, but still hiyo bado ni reasonable price sabab dukani same phone with same specs price ni zaidi ya 1.2mil, hivyo kwang unakuwa umesave km 250k. Good business!
 
Mfanyabiashara hutakiwi kuwa na lugha hiyo

Na kukasirika kwake kunaweza kutafasiliwa kivingine kabisa! Mtu kama unauza products genuine kwa nini ukasirike ovyo i.e una wasi wasi gani? Keep your cool - fanya biashara.
 
Ndio, ingawaje mwenye pesa pungufu na maongezi yanaruhusiwa, but still hiyo bado ni reasonable price sabab dukani same phone with same specs price ni zaidi ya 1.2mil, hivyo kwang unakuwa umesave km 250k. Good business!

Correction Mkuu weka sawa bei sio 950 million badala yake iwe laki 9 na nusu..... MILLIONI 950 unaichukulia rahisi ee
 
Ninauza Smartphones za kisasa, Originals tu kwa bei Poa, mzigo unaingia kutoka South Africa kila week, Simu zote zinakuwa mpyaaa na vifaa vyake, pia ni Guaranteed, kwasasa kuna smartphones zifuatazo:

Sony xperia z3, 16GB@550k
Sony Xperia M4, USA version, 16GB @ 550k
Sony Xperia z5, 32GB @800k
Sony Xperia z5 Premium, 32GB @1.1mil

HTC One M8, 32GB @ 550k
HTC Desire Eye, 16GB @650k
HTC One M9, 32GB @750k

Huawei P8 lite, 16GB @ 450k
Huawei P8, 16GB @ 650k

LG flex 2, 16GB @600k
LG G4 styles, 16GB @650
LG G4 leather backcover, 32GB @650

Iphone 6, 16GB @950k
iphone 6 plus, 16GB @1.3mil
Iphone 6s, 64GB @1.4mil
Iphone 6s Plus, 16GB @ 1.5mil

Samsung S5, 16GB @550k
Samsung S6, 32GB @800k
Samsung S6 edge, 32GB @950k
Samsung S6 edge, 64GB @1.mil
Samsung S7, 32GB @1.3mil
Samsung S7 edge, 32GB@ 1.5mil
Samsung S6 edge plus, 32GB @1.3mil

Samsung Note 3, 32GB @ 550k
Samsung Note 4, 32GB @ 750k
Samsung Note 5, 32GB @ 1.1mil
.......etc.....
licha ya simu pia nina tablets, ipads, laptops, Camera etc.

#Ukihitaji mzigo unaweza kufika ofisini kwangu Kariakoo Pia unaweza letewa ulipo.
# kwa maelezo zaidi unaweza kunipigia au kunitext kwa +255654776976 au kupitia email:vieloon@gmail.com
748e3f6e849b0248d6825870dcdc1aff.jpg
e192e5ab6b0472a0541ea406c15fb1ec.jpg
7bee02c759c6bc8a7d6d9a5fdebc5f6b.jpg
a56930e838f98fd8954ec5004e0e6946.jpg
24d1c4f118f53c0042adba5e652a11ab.jpg
ac41980bf667cb5d6972e473f84698ac.jpg
8b6d3c41ae079ea08fb6515f5d813a83.jpg
f74cea3631433dfb721e320d49bd5939.jpg

99f448c98a5f6eb062e85ba14ac81dc0.jpg
cf74fcadfd3c19337dbd023a4b243f66.jpg
662beeaccbfb39afa1258be1239baaa4.jpg
86a8a1790834d873676899db4c661b7e.jpg
350d571ade05737e94dbfaf21871789d.jpg
423ed59f9b161b0de6146c5bf5ad4114.jpg
7875f8a175fa64649e066917d1c56dc9.jpg
3716b8350c1ce69855310c46b7f3a8cb.jpg
a92c513c917ba1f216780f8d84c533d5.jpg
Tecno P5 unauzaje?
 
Mkuu mi nina pendekezo tu, unaonaje utuletee simu zilizo nafuu zaidi, maana nyingi ya hizo simu ni high-end so bei zake nyingine ni za kutosha kununua hata piki piki mpya au used.
At least ulete target yenye simu nyingi kuanzia 350k mpaka 100k hapo maana wengi kipato kinaangukia hapo mkuu. I think itakuwa more reasonable zaidi, ni maoni yangu tu na kama ushauri pia. Im a marketing graduate.
 
Mkuu mi nina pendekezo tu, unaonaje utuletee simu zilizo nafuu zaidi, maana nyingi ya hizo simu ni high-end so bei zake nyingine ni za kutosha kununua hata piki piki mpya au used.
At least ulete target yenye simu nyingi kuanzia 350k mpaka 100k hapo maana wengi kipato kinaangukia hapo mkuu. I think itakuwa more reasonable zaidi, ni maoni yangu tu na kama ushauri pia. Im a marketing graduate.
Thanks mkuu kwa ushauri, huwa mara nying mzigo wng nanunua kwa kulenga south Africa, so huwa na target simu Kali na kubwaa za kisasa ambazo nitabeba mzigo kidogo ila wenye thamani...so inakuwa rahis, ila ushauri wako nitaufanyia kazi kaka, lakin vile vile km unahitaji cm ya bei ndogo kiasi naweza kukusaidia kuipata pia kwa bei nzuri, sababu nina connection kariakoo hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom