Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

Aisee,
Yaani hata za 150,000/= hivi au 170,000/= hana, kisha anaita bei nzuri
Mnataka vitochi au michina eeeh??? Af mjue tu kwamba mimi siuzi simu za ujanja ujanja mlizozoea nyie watu wa aggrey!!
 
We umezoea used si ndio ??[emoji3] [emoji3] ..wahi pale Aggrey ukatapeliwe...maana mjini ukiona unapata kwa unafuu saana usishangae ukawa unapatikana wewe..Siku njema!!
Hahah japo sijawahi uziwa kitu feki maana pengine nazielewa zaidi yako hizo gadgets, kuna vitu nimeviona mkuu kwako lugha ya biashara hauna yaani umeshindwa tu kujielezea kwanini bidhaa ziko juu ina dhihirisha umeshindwa kumshawishi mteja kwa kutojiamini na unachofanya kama ni sahihi,customer care mbovu hujui nini maana ya complains na hata difficult customer huwajui ni akina nani! zingatia hivo vitu mkuu,biashara njema.
 
Ndio nina swali zaidi lakini kama hujali, je unaweza kujibu hapa hapa kwenye mazingira ya uwazi na ukweli kuliko huko chemba unakoniita nije?

Umesema unaitoa simu kwenye boxi kurahisisha usafirishaji, usalama na matangazo. Kuhusu usalama sijaelewa simu inakuwaje salama zaidi ikisafiri loose loose haija protectiwa.

Anyhow, kuhusu advertisement, umesema nikupe mrejesho wa maduka ambayo simu zote ziko kwenye maboxi. Ni kweli kabisa madukani simu zinakuwa nje ya maboxi kwa ajili ya advertisement lakini kamwe hawakuuzii li simu lile lile limetundikwa juu ya meza mwaka mzima kila mtu anakuja kubonyeza bonyeza, kuijaribu, kuichafua chafua, hiyo inaitwa open box, kundi la USED!

Simu za advertisement hizo hizo we unauza umezishika mkononi, nitajuaje kwamba haijatumika? Kwa sababu hakuna mtu anaeuza simu kama "brand new" kaitoa nje ya boxi! Unaweza kutumia simu miaka miwili ukaifanyia factory reset siwezi kugundua kama imetumika, especially kama ilikuwa ndani ya protection nzuri. Na hata usipotumia protection simu ikipigika kwa nje watu wanabadilisha hizo frame za nje vizuri tu!

Kwa hiyo kaka, simu zako zina ukakasi kwenye "upya," especially kama simu unasema umezimetoa South halafu iphone zenyewe nyuma kile ki apple chake ni cha bendera ya South! Apple toka lini wamebadilisha kile ki insignia chao kikawa cha bendera za nchi? Au ni m-sauzi ashaipigisha sana kwato hiyo iPhone akali dump kwenye soko huria la watu ambao umetuita kwamba hatujui sana simu, yani wewe mwenyewe umentamkia kwamba wateja wako hatuna sophistication na simu, kwa hiyo unataka kutupiga?

Tunaomba maelezo ya kina juu ya ufafanuzi ulioutoa awali.
Bwana Tindikali...km lilivyo jina lako inaonekana unaukakasi kweli rabda wa kutaka kujua au kutaka kuonekana unajua.
Sitokupa maelezo kwa kirefu saana ila tu nitakufundisha akili ya biashara, hasa hii ya simu ambayo inaonekana huna uzoefu nayo hata kidogo . sasa kwa kifupi tu kwa akili ya haraka haraka lazma ujue, kutoa simu kwenye box hupunguza nafas ambayo ingetumiwa na kila box, mfano begi ambalo lingebeba simu sita zikiwa kwenye box huweza kubeba zaid ya simu 20 zikiwa haziko kwenye box, hiyo pia hupunguza uzito wa mzigo, hivyo hivyo gharama hupungua pia kwa njia moja au nyingne.

Vile vile kuweka glass protector ambayo sio permanent ktk simu hupunguza uwezekano wa simu kuvunjika kioo wakati wa usafirishaji.
(nadhan huna hata idea hasara ambayo inaweza kutokea)

Kuhusu kuweka simu kwenye display au kuifungua na kuzitangaza huo ndio utaratibu wangu, na haina athari yoyote kwa simu ambayo ni mpyaa! Pia wewe ulidai cm mpyaa zote lazima ziwe sealed. Si kweli na hili sina ulazima wa kulitolea ufafanuzi tena maana kila mtu ana uzoefu wa kutembea maduka mbali mbali ktk watakuwa mashuhuda, Ila pia hata kwng sio lazma niliyoipiga picha na kuitangaza ndio uuziwe! Mzigo ninao mkubwa tu..hizo nazo weka kwenye matangazo ziache km zilivyo ukutaka utapewa nyingne.
wewe Tindikali naamini unaongea lakin hata dukani kwng hujawi fika. Fanya siku moja ufike. Uone km utakosa simu unayotaka kwa tena Kwa hali unayoitaka acha kupiga mayowe tena ya mbali!

Tukija sasa kwenye hoja yako ya logo sijui ile alama ya Apple kwenye cm zangu za iphone et haipo ila ipo sijui nn, hilo ndo kwnza nalisikia kwako...rabda fanya kuja dukan kwangu unionyeshe hiyo alama ambayo haipo na hiyo ambayo ipo ni ipi!...
Au kuokoa muda hiv ulishawahi nunua kwangu simu ukakuta ipo tofauti??
Au unaongea tu ili kuharibiana biashara???

Mwisho tu ni kwamba mimi hii biashara sijaanza leo wala jana, na uzuri tu ni kwamba wakuu wa humu JF wamekuwa wakiniunga mkono sana kwa kununua bidhaa zangu nadhani hujawahi kukuta malalamimo humu..sasa inamaana wateja wangu woote wa jf ni wajinga nawauzia bidhaa zisizo na ubora na wanashindwa kuja kulalamika humu??

Wewe ambaye hujawahi nunua hata memory card au kisimu cha tochi kwangu ndo unazijua saana bidhaa zangu?????
Tindikali kama unahitaji kujua omba uelimishwe sio kashifa na kujifanya kujua kisa wivu wa kibiashara.
 
Hahah japo sijawahi uziwa kitu feki maana pengine nazielewa zaidi yako hizo gadgets, kuna vitu nimeviona mkuu kwako lugha ya biashara hauna yaani umeshindwa tu kujielezea kwanini bidhaa ziko juu ina dhihirisha umeshindwa kumshawishi mteja kwa kutojiamini na unachofanya kama ni sahihi,customer care mbovu hujui nini maana ya complains na hata difficult customer huwajui ni akina nani! zingatia hivo vitu mkuu,biashara njema.
Kwanza Huyo customer unayemwongelea hapa, yupo wapi??

Simu maduka mengine inauzwa 950k,
mimi ninauza 700k af wewe unalalamika et simu zangu ni nzuri ila bei zangu ziko juu!! Kabla ya kuongea fanya research, yaani Kutoka 950 mpaka 700 bado unaona bei ni juu? Ulitaka uuziwe kwa 500k?

Af tena bado unataka nikueleweshe sababu za bei yangu kuwa juu? Hiyo juu kaiona nan?? Wewe ndo ueleze kwnn unasema bei yngu ipo juu km sio kwa sabab umezoea simu za mikononi pale aggrey maana ndio sehemu pekee Tanzania simu ya 1mil unaweza pata kwa laki 4 ila baadae unajuuta.
Kuna msemo " nafuu sana ghali"
 
Kwanza Huyo customer unayemwongelea hapa, yupo wapi??

Simu maduka mengine inauzwa 950k,
mimi ninauza 700k af wewe unalalamika et simu zangu ni nzuri ila bei zangu ziko juu!! Kabla ya kuongea fanya research, yaani Kutoka 950 mpaka 700 bado unaona bei ni juu? Ulitaka uuziwe kwa 500k?

Af tena bado unataka nikueleweshe sababu za bei yangu kuwa juu? Hiyo juu kaiona nan?? Wewe ndo ueleze kwnn unasema bei yngu ipo juu km sio kwa sabab umezoea simu za mikononi pale aggrey maana ndio sehemu pekee Tanzania simu ya 1mil unaweza pata kwa laki 4 ila baadae unajuuta.
Kuna msemo " nafuu sana ghali"
Usipanick mkuu changamoto za biashara.
 
Oy mkuu ninaa 180 kangu hapa...natakaa kasimu..vipii nitapata na uko wapiii kesho nijee
 
Capture%2B_2017-01-01-10-12-37-1.png

VunjaBei Matelephones, msambazaji na muuzaji mkuu wa smartphones za kisasa kwa bei pouwa, ninawatakia wateja wangu wote pamoja na wale wanaofuatilia huduma zangu kupitia mitandao ya kijamii hasa humu JF heri na mafanikio mema ya Mwaka Mpya huu 2017.

Pia napenda kutumia fursa hii kuwashukuru wote tuliokuwa pamoja kwa mwaka 2016, Asanteni sana.
Mwaka huu 2017 tegemeeni ujio wa smartphones kali za kisasa, offer kabambe na punguzo la bei kwa asilimia kubwa.

Asanteni.

0654776976
 
Sina aysee s7 ya bei hiyo.... Angalia tu usiuziwe mbovu au ya wizi mkuu, hakuna s7 ya 500k. Kuna msemo "Nafuu saana ghali"
Raihsi ni ghali. Sio mzaha, Experia z5 dual 650 mwezi watatu nikupe hela.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom