Mkuu, umeingia mitini?
Potential customer nina swali huku, hizo simu ni mpya au ni refurbished?
Simu mpya huwa haishikwi mkononi wala kuning'inizwa ubaoni, wala hazibandikwi urembo wa bendera za South Africa, bali zinakuwa kwenye boxi lake. Na lile box lina kagundi ka plastiki au ka shaba, ukikakata kale ni kwamba simu inaitwa open box, inakuwa kundi la used. Kwa sababu kwa nini ilitolewa kwenye boxi kama sio kwa kutumika?
Tunaomba ufafanuzi.