N Ngwena Member Feb 5, 2010 30 3 Jul 20, 2011 #1 Brand new Black Iphone 4 16GB on sale, mali toka UK. Ukihitaji nipigie 0786 191877. Bei 1.2M, kama uko serious tutaongea.
Brand new Black Iphone 4 16GB on sale, mali toka UK. Ukihitaji nipigie 0786 191877. Bei 1.2M, kama uko serious tutaongea.
Manyanza JF-Expert Member Nov 4, 2010 9,719 14,844 Jul 20, 2011 #3 Duh hapo 1.2 M napata nokia za tochi za kutumia ukoo mzima
tata mvoni JF-Expert Member Jan 14, 2011 534 81 Jul 21, 2011 #4 vp kiwanja kule chanika hupati kweli?
pumbatupu JF-Expert Member Jul 20, 2011 256 82 Jul 21, 2011 #5 Ngwena said: Brand new Black Iphone 4 16GB on sale, mali toka UK. Ukihitaji nipigie 0786 191877. Bei 1.2M, kama uko serious tutaongea. Click to expand... Kwa hilo fuba hapa mtaani unatangaza ndoa hata 10..hebu acha masihara
Ngwena said: Brand new Black Iphone 4 16GB on sale, mali toka UK. Ukihitaji nipigie 0786 191877. Bei 1.2M, kama uko serious tutaongea. Click to expand... Kwa hilo fuba hapa mtaani unatangaza ndoa hata 10..hebu acha masihara
Osaba JF-Expert Member Apr 10, 2011 1,937 772 Jul 21, 2011 #6 tata mvoni said: vp kiwanja kule chanika hupati kweli? Click to expand... Sawa kama hicho kiwanja utakuwa unabonyeza namba na kuwasiliana na watu sawa.
tata mvoni said: vp kiwanja kule chanika hupati kweli? Click to expand... Sawa kama hicho kiwanja utakuwa unabonyeza namba na kuwasiliana na watu sawa.
Bado Niponipo JF-Expert Member Aug 15, 2008 680 168 Jul 21, 2011 #7 mkuu toa bei ya ukweli tufanye biashara.