Brand ipi ya maji ni bora baada ya Kilimanjaro Drinking Water?

Brand ipi ya maji ni bora baada ya Kilimanjaro Drinking Water?

Uhai siyaoni tena. Moja ya bidhaa za Azam iliyokosa ubora kabisa.
Kama wameamua kusitisha uzalishaji, bila shaka wameona ukweli.

Uhai ilikuwa miaka ile ya zamani! Bahati mbaya wakashindwa kujiongeza wakabaki vilevile, matokeo yake wakazidiwa hata na kampuni mpya za maji
 
Kuna maji sijawhi kuyaona Dar lakini niliyakuta Nguluka. Kiwanda kipo Vingunguti. Kuna utapeli mwingi sana.

Hivi nani ana idea kuna brand ngapi za maji Tanzania? Yale ya Lady JD yaliishia wapi na mhindi wake?

Yale ya Ndanda yamefia wapi?
 
Azam na hapa alifeli tena
IMG_2275.jpg
 
Back
Top Bottom