Brand ipi ya maji ni bora baada ya Kilimanjaro Drinking Water?

Brand ipi ya maji ni bora baada ya Kilimanjaro Drinking Water?

Brother Nakueleza ukweli...najua Hutaniamini, kuna maji yanaitwa Sequa yanatoka Rombo Mkuu, kilimanjaro hakuna maji yanasogelea hata kwa karibu...hakuna

nadeclare kwamba nilikua fan wa kilimanjaro na natokea kilimanjaro ila sequa habari ingine

kwanza yakifikaga Dar yanagombaniwa hatari...cha kufurahisha ni 1000 tu....1.5 liters
 
Wewe upo tanzania au burundi kilimanjaro ni wachagga tu ndio wanaopenda hayo maji maji yenye mauzo kuliko wote ni AFYA nenda kawaulize wauzajibwa maji
Wakuu wa jukwaa leo tujadili kampuni ipi ya maji ni bora baada ya ile Kilimanjaro drinking water ya bonite?

Je ni uhai, afya, udzungwa, hill water au mengineyo? Karibu kwa mjadala...
 
Huu uzi unatakiwa kuchangiwa na watu waliozunguka sana hii Tz maana kuna maji ambayo hayafiki kona nyingine ya nchi. Kwangu mimi kanda ya ziwa sina uzoefu nayo ila kwa maji yanayofika kanda ya kaskazini, pwani na nyanda za juu kusini asee kuna Maji Rungwe, Mbeya Spring na Udzungwa ni hatari fire.
Kilimanjaro ni level ya kimataifa kibongobongo hana mpinzani.
 
Back
Top Bottom