Brand ipi ya maji ni bora baada ya Kilimanjaro Drinking Water?

Brand ipi ya maji ni bora baada ya Kilimanjaro Drinking Water?

Ni Uhai

Japo Kilimanjaro kamuacha kwa mbali uhai

Sababu maji ya Uhai bila kuwekwa kwenye friji na kupata ubaridi ukiamua kuyanywa tu utahisi kama unakunywa panado

Ila ukifika kaskazini Uhai hayapo
 
Kilimanjaro ya siku hizi siyo mazuri kabisa.. Inazidiwa mpaka na Sequa ile ya Rombo..

My 10 ten;
1. Sequa
2. Dew Drop
3. Hill
4. Jambo
5. Afya
6. Ruwenzori
7. Kilimanjaro
8. Masafi
9. Udzungwa
10. Uhai

Vigezo gani umetumia ili na sisi tujue kwanini kilimanjaro ya siku hizi sio mazuri?
 
Napenda Sanaaa packages zao ni very classic na maji yenyewe ni very amazing
Yanapendeza sana sema shida kwa dar ni adimu sana sijui wanazidiwa na uhitaji?
JamiiForums1889638826.jpg
 
Kilimanjaro ya siku hizi siyo mazuri kabisa.. Inazidiwa mpaka na Sequa ile ya Rombo..

My 10 ten;
1. Sequa
2. Dew Drop
3. Hill
4. Jambo
5. Afya
6. Ruwenzori
7. Kilimanjaro
8. Masafi
9. Udzungwa
10. Uhai
Kuzidiwa au kuzidibni psychological feelings tu. Maji ni Yale yale as long as yamefanyiwa treatment ya kutosha
 
Kilimanjaro haina mshindani.

Hao Dew originally from Rukwa wameingia mkenge kuanza kuzalisha Dar. Mimaji ina chumvi kabisa.
Dew Drop ukiinywa ukiwa mikoa ya Kusini iko powa Sana..

Hapa Dar sijawahi kuijaribu, zaidi ni Sequa na Hill.. Hata Kilimanjaro ya kule Kaskazini ni nzuri ilhali ya hapa Dar haisomeki, huenda nao wanatumia maji Chumvi kuzalisha.
 
Back
Top Bottom