Brain Teaser for Great Thinkers

Brain Teaser for Great Thinkers

Movado

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
105
Reaction score
28
BRAIN TEASER:

I am an 8 letter word. I am kept a secret by everyone. My 234 letters spell an animal. My 45678 is a weapon. My 128 is used for writing an exam & 1234 is ussually an outcome of an exam. What am i???
 
Password
animal- ass
weapon- sword
writing exam-pad
results- pass

Mwenzako leo nipo bored hapa nikasema nichukue kalamu na karatasi , nimeshachora vi-box 8 naanza kuandika maneno. Nimeanza na PEN niokawa sioni muendelezo. hehehe
 
ha haaa, pole
mwenzio nilianza na results, kuna 2 tu, pass au fail..... hapahapa lazima upate jina la animal, ail.....mmmh! ass....yes....
nikapata pa kwenye kitu kinachotumika ku-write exams..... bado herufi 1....nikajua ni pad.....
sasa hapo mtihani ukabaki kwa weapon..... nina s mwanzo na d mwisho......
next time utumie akili yangu kuwaza, sawa?
cc. snowhite
 
sasa we unafikir dada kubwa langu nalichagua bure!
khaaaa!
big sister langu kichwaaa!
 
ha haaa, pole
mwenzio nilianza na results, kuna 2 tu, pass au fail..... hapahapa lazima upate jina la animal, ail.....mmmh! ass....yes....
nikapata pa kwenye kitu kinachotumika ku-write exams..... bado herufi 1....nikajua ni pad.....
sasa hapo mtihani ukabaki kwa weapon..... nina s mwanzo na d mwisho......
next time utumie akili yangu kuwaza, sawa?
cc. snowhite

Nimekusoma mamdogo

Noted for future use LOL
 
Usipoteze muda wako siku hizi ukigoogle kitu kama hiki jibu linajileta sasa inakua sio brainteaser tena.
 
Maundumula, siku nyingine utumie njia hii....
sasa hapo utakuwa umeshughulisha brain yako?
no wonder mitihani hata ya hesabu siku hizi ni multiple choice.....kama unaona uvivu ku-think una-guess tu
cc. snowhite, gfsonwin
 
Nilisahau kama kila kitu kipo kwenye finger tips these days. :wink:
na wewe unataka ku-apply hiyo?
mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!
kweli huko tuendako tutatumia brain kweli?
maana kila kitu tutakuwa tunataka tukipate kirahisi tuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Ndo naona hii sredi...na jibu nlikuwa nalo! Movado unitag siku nyingine!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom