BOYS vs GIRLS

BOYS vs GIRLS

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
girls-vs-boysfunny-pics.jpg
 
Kawaida tu hiyo, hata mimi ukinikosea wewe mwanaume ni lazima ni kuwakie, kwasababu midume mingi hufanya makosa makusudi.
ujumbe uliopo hapo ni kuwa makosa yakifanywa na wasichana polisi hawawafanyi chochote, lakini wavulana wakifanya kosa lilelile, polisi watahangaika naye mpaka akome
 
Msichana hutenda makosa kwa kuto kufahamu, ila wavulana hutenda kwa kukusudia
Wasichana hata wafanye kosa la wazi wataachiwa tu, lakini mvulana hata kama utakuwa umefanya kwa kificho utapekuliwa balaa
 
Labda kama ni kwenye movie . . . .na hizi njaa za siku hizi nani akuache kirahisi rahisi namna hiyo?
 
mie, mdume akifanya kosa hua na mcheki then ikiwezekana nampa vitasa vya kuchangamsha akiri. Ila mdada namuita naanza kumuelekeza hadi aelewe

ingekuwa hivi kwa wote sitaki kupata picha mambo yangekuwaje
 
Back
Top Bottom