erasto mrishayo
Senior Member
- Oct 16, 2015
- 157
- 79
Wewe unataka mpini au usafi? Kusafisha jukumu lako sasa unamkandia humu halafu tena una mahesabu ya kwenda kwake ukauchezeee
Kiumbe wangu Mimi hatujashindwana bado
Huwezi kuwa smart and then umdate mtu wa hovyo, inawezekana vipi?
#kila mtu na size yake
Daaah aisee yataka moyo maini na mapafu kuishi getho la namna hiiNdo umekuja kunitangaza huku JF? sawa bwanaView attachment 1231209
Haka kathread kamekaa kimalayamalaya... Sky Eclat usije huku mama. Wanetu wamefeli kulea wajukuuNajua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.
Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.
I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi. Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki. Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi. Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.
I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).
Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.
He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.
Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Huyo atakua mfanyakazi wa budege mana taka kwake ni rafikiNajua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.
Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.
I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi. Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki. Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi. Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.
I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).
Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.
He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.
Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Mbona mnachanganya uchizi na uchafu?
Huyu aliyeelezwa hapa ana matatizo ya akili, tatizo mnamchanganya na mtu mchafu.
kama nakuona ulivokuw unatoa tunda jana usikiKiumbe wangu Mimi hatujashindwana bado
Huwezi kuwa smart and then umdate mtu wa hovyo, inawezekana vipi?
#kila mtu na size yake
dawa ya moto ni moto na wewe kuwa mchafu zaid yakeNajua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.
Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.
I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi. Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki. Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi. Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.
I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).
Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.
He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.
Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Mungu kakupa wa kufanana nae jitahidi umbadilishe mwenzio ndio uwanamke huoNajua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.
Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.
I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi. Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki. Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi. Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.
I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).
Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.
He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.
Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Umeongea point kabisa. Tatizo ni pale wavaa mawigi na wabandika kucha wanapojiona wasafi. Nlikutana na dada fulani sehemu, sikujua kama amejichubua hadi nliposikia harufu kama ile unayokutana nayo ukiingia Duka la Dawa.kama na we una vaa wig bc huna tofauti nae
Hapo naimagine na usafi wa mwili wake, mwanaume wa hivyo hata kunyoa mazivu ni kazi, kujiosha vizuri makengele yake nayo tabu tupu unakuta adi yale mazivu yamegeuka rangi yamekuwa brown hahahahaaa asa ingia jaribu ata kumpa perfume au body spray anakwambia ajazoea arufu hahaha ajui arufu yake ya majasho inaumiza wengine
Nyie wanaume wachafu mnatupa tabu kwenye Usafiri wa daladala unakuta kidume kashikilia bomba kwapa linatema mbaya akisema afungue mdomo kusalimia harufu unatamani ushuke.
Not true man. Let say you have your white shirt stained with a streak of oil or even juice. Do you realize that the streak has made your shirt dirty but it doesn't smell bad aka stinking?Every dirty stinks...
Mgonjwa mahututi???? Watu mnaroho ngumuHahaha huyo nae hajielewi..niaache kukutafuna kwa sababu yakuumwa??
Ungefurahia show na ugonjwa wako ungepona automatically
Anafanya kazi gani huyo mshikaji wako?Hahaha simaanishi usafi uzidi hapana. Zile normal ettiques kama kutoa sahani ukila, kutupa uchafu kwenye Dustin, yani vile vitu vya kawaida navyo ni tatizo.