Boyfriend wangu ni mchafu sana

Boyfriend wangu ni mchafu sana

Baba inabidi ninunue shuka mpya, kila kitu kiwe safi. Yani ni noma mzee baba maana sahivi pasafi ila bado napaona jau[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahah, mimi ndani kuna taulo, shuka na mito ya kutumika wakati wa dharula kama hizo [emoji23]
 
Hahah, mimi ndani kuna taulo, shuka na mito ya kutumika wakati wa dharula kama hizo [emoji23]
Hahah hizo ndio mission za kibaharia, hapa inabidi nidake mito mipya na shuka nyeupe na pazia mpya kali zaidi. 🤣🤣🤣 Taulo ni swala mtambuka pia ila air freshner ntaweka mr.poppy uvunguni!
 
Nashukuru umenisahihisha. Wengi wetu si wachafu ila hatujui kupangilia vitu. Ila huyu wa mleta mada kusema ukweli ni mchafu tu kwa kweli.
Ila ni vitu vinarekebishika
Ni mchafu hasaa...
 
Hahah hizo ndio mission za kibaharia, hapa inabidi nidake mito mipya na shuka nyeupe na pazia mpya kali zaidi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Taulo ni swala mtambuka pia ila air freshner ntaweka mr.poppy uvunguni!
Naam naam [emoji23] na kanuni ni kwamba manzi aki-sleep over hilo shuka jeupe lazima asubuhi alifue ili lirudi kabatini. Air freshner nayo ni ya muhimu mno.
 
Naam naam [emoji23] na kanuni ni kwamba manzi aki-sleep over hilo shuka jeupe lazima asubuhi alifue ili lirudi kabatini. Air freshner nayo ni ya muhimu mno.
Hahahah lazma tena wenyewe huwa wanapenda sana. Atafua na mashat yangu kadhaa.
 
Hahahah lazma tena wenyewe huwa wanapenda sana. Atafua na mashat yangu kadhaa.
[emoji23] aisee kumbe hizi kanuni za kibaharia ni universal. Ila tunapata tabu sana, at normal conditions siwezi kutumia mashuka meupe wala taulo nyeupe maskani [emoji23].
 
Kuna jamaa yangu basi tu alikua best.. We shared a room at the college.. Alikuwa hazingatii usafi Wa miguu aisee...

Alikua anapigwa na fungus hadi vidole vinabadilika rangi. Vinakuwa green.

Sasa wewe chukulia poa tu kuwa smart ktk Sox.
 
[emoji23] aisee kumbe hizi kanuni za kibaharia ni universal. Ila tunapata tabu sana, at normal conditions siwezi kutumia mashuka meupe wala taulo nyeupe maskani [emoji23].
Hahahah hizi huwa ni Universal na zipo katika katiba. Baharia mzoefu lazma azitumie hizi 🤣🤣🤣 ili kuweka rekodi sawa.
 
Mkuu roughness is 99.999% dirtiness and in a real civilized world anything that is not in its proper place is dirtiness. The other way of saying this is to say roughness is dirtiness.
But at least it doesn't stink... Ditrty STINK...
that's the difference.
 
Mvumilie.
HATA WEWE UNA AIBU ZAKO
Anakustiri tu.
wazungu wana msemo wao.
"HAKUNA MKAMILIFU"
 
Huyo boy wako hatupishani na mimi, mi ni mchafu pengine hata kumzidi na niko hivyo lakini nina wadada watatu wote wanapigana vikumbo wakitaka niishi nao. Kipindi niko ghetto choo kiko mbali nlikuwa na tabia nanunua mapombe nanywea ghetto nakojoa kwenye chupa za maji naweka uvunguni kipindi hiko dem nae ana ghetto lake akija kwangu anakuta chupa km 10 zimejaa anatoa moja baada nyingine anasafisha ghetto linakuwa saaaafi huyu dem nnae hadi leo na amenpa mtoto, nkapataga dem mwingine wkt naishi ghetto nae nkamuambukiza sbb akawa mlevi km tunanunua wine tunajifungia ghetto tunaweka ndoo mlangoni ya kukojolea, huyu nae hadi leo nnae na amenipa mtoto.
Sasa hivi nina huyu watatu ni msafi sijawahi ona, kila bao lazima aingie bafuni kujisafi ananukia muda wote, baada ya tendo hakuruhusu hadi uoge lkn mi naondoka ivoivo, sivaagi mkanda na soksi ananinunulia soksi na mikanda kila siku, sinunuagi nguo mpya hadi aninunulie yeye. Boxer ndo huwa najali, japo mvivu wa kufua huwa navaa ikichafuka nabadili huwa sifui nanunua nyingine hizi za bei chee.
Akiingia kwenye gari anasema sana gari chafu km ya mzee mi sijali. Mi ni mchafu lkn napendwa hivyohivyo wote hao watatu wanataka ndoa, hizi mvuamvua leo sijaoga siku ya 3 tangu niduu juzi sijaoga! Maisha yanaenda.
Duuuh.
 
Back
Top Bottom