Boyfriend wangu ni mchafu sana

Wewe unataka mpini au usafi? Kusafisha jukumu lako sasa unamkandia humu halafu tena una mahesabu ya kwenda kwake ukauchezeee
 
Ndo umekuja kunitangaza huku JF? sawa bwanaView attachment 1231209
Daaah aisee yataka moyo maini na mapafu kuishi getho la namna hii
Binafs najua weaknesses zangu ni mmoja kat ya wanaume wa aina hyo ila najiepusha sana na vitu vitakavyonichafulia nyumba
Nachukia uchafu lkn nachukia zaid kufanya usafi
Kwangu hakupikwi ili kuepusha uwepo wa vyombo vichafu
Marufuku kuja na chakula getho labda vinywaji tu
Nmekodisha mtu maalum kwa ajili ya kunifanyia usafi kila jumatano na jumamos
Usafi ninaoweza kufanya ni unaohusu mwili wangu tu boxer na socks angalau najifulia ila mengine nlifeli kitambo sana
 
Nitoe ushuhuda nilikua mwanamme mchafu sana kuanzia mwili hadi nyumba, mke wangu alikua haishi kunigombeza kila siku, lkn saivi najikuta nimekua msafi kumzidi, ni baada ya yeye kupambana kwa takribani miaka mitatu sasa, inshort inahitaji mda kutengeneza unachokitaka.
 
Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.
Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.
I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi. Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki. Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi. Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.

I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).
Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.
He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.

Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Haka kathread kamekaa kimalayamalaya... Sky Eclat usije huku mama. Wanetu wamefeli kulea wajukuu
 
Huyo atakua mfanyakazi wa budege mana taka kwake ni rafiki
 
dawa ya moto ni moto na wewe kuwa mchafu zaid yake
 
Mungu kakupa wa kufanana nae jitahidi umbadilishe mwenzio ndio uwanamke huo
 
kama na we una vaa wig bc huna tofauti nae
Umeongea point kabisa. Tatizo ni pale wavaa mawigi na wabandika kucha wanapojiona wasafi. Nlikutana na dada fulani sehemu, sikujua kama amejichubua hadi nliposikia harufu kama ile unayokutana nayo ukiingia Duka la Dawa.

Hakuna watu wachafu na wanaonuka kama wanojichubua na kuvaa mawigi
 
Magnumpi,

Msamehe hatarudia tena.. Bora atabadilika taratibu, kuliko ukutane na mshenzi wa kukugonganisha na wanawake wenzio. Mtengeneze awe wako.. Kama ikibidi hamia kwake ili umdhibiti vizuri.. Usikubali kuachia ngazi kirahisi.

Mi naona jamaa ni mvivu na sio mnafiki kwako.. Mnapendana sana. Hamia kwake kwako kwa wiki uwe unaenda mara moja kwa wiki. Mdhibiti hakikisha ananyoka.

Mwambie utamsemea kwa mama yake kama vipi. Anakupima aangalie ni jinsi gani moyo wako umepondeka au ni kiasi gani utamvumilia akifanya mabo ya hovyo.
 
dada shkamoo inaonekana ushakutana nalo
Hapo naimagine na usafi wa mwili wake, mwanaume wa hivyo hata kunyoa mazivu ni kazi, kujiosha vizuri makengele yake nayo tabu tupu unakuta adi yale mazivu yamegeuka rangi yamekuwa brown hahahahaaa asa ingia jaribu ata kumpa perfume au body spray anakwambia ajazoea arufu hahaha ajui arufu yake ya majasho inaumiza wengine
 
Back
Top Bottom