Boyfriend wangu ni mchafu sana

Boyfriend wangu ni mchafu sana

majamaa kama hao kichwan wanakua na uwezo mkubwa.. yupo jamaa niliishi nae chuo.. dah yule jamaa mpaka nilikuwa najisemea mke wake atakuja kupata shida.. nguo anatupa tupa tuu akivua.. zikichafuka (baada ya kurudia kama mara nne hivi) anamtafuta mama wa usafi amfulie.. hivyo!! ila ndie alietukimbiza kwa GPA those time! kwa sasa route zake ni za ughaibuni sana!!
.
.
njia ya pekee ya kuishi na hao majamaa ni kuwa wawazi kwao, na mfanye kazi pamoja azoee, coz hayo ninmalezi aliokulia hivyo kuyabadili kidogo inahitaji uvumilivu!!
sio malezi,ni maumbile,mi huwa wanalia ni mchafu ila sio level hizo,nafua,naoga ila vyombo sasa..na siwezi kubadilika yaani,ni dem ndo naona ana jukumu la usafi
 
Inasemeka kuwa huyu jamaa ana soksi zaidi ya pea 20. Mi nadhani huyu no rough na sio mchafu. Suala la kutooga hilo ninamashaka nalo. Huwezi kubadilisha nguo kila siku usioge
soksi pea ishirini ni dalili ya uchafu,yaani uvivu wa kufua soksi,so ananunua kila siku..na boksa hvohvo
 
hebu njoo PM tuyajenge[emoji85]
Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.

Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.

I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi.

Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki.

Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi.

Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.

I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).

Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.

He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.

Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
 
Wewe ndiyo umshape awe msafi,maana nyie kina Delila hakuna linalowashinda
 
Fanya hivi tena hapa hapa kwenye uzi huu.

1. Andika mazuri yake yote
2. Andika mabaya yake yote

Then yasome kwa sauti

Baada ya hapo rudia uamuzi wako.

Nauhakika utamwomba msamaha kqa hili ulilo lifanya.

Mwenyewe yamkini ni mchafu kama sio vhumba chako basi kucha zako kama sio kucha zako basi kikwapa ka sio huko basi kule mtoni kuna harufu hama sio huko basi nywele zako zinaonekana ni chafu...

Once you decide to live with some one means we take responsibility of everything.
Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.

Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.

I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi.

Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki.

Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi.

Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.

I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).

Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.

He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.

Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
 
muache....then uje na uzi mwingine.....MWANAUME WANGU ANAJAMBA MNO AKINIDOOO.........huyo ndio wa kufanana na wewe... na ndio maana uko nae to date.....no justfy...its satisfy........you can shape you lover kama unampenda........kama una yako endelea kuchagua.......
 
Unataka aingie huku afanyaje sasa lazima apotee pamoja na kukuimbia mashairi yote kweny ule uzi wake ukampiga mbavu
Hapo lazima roho imuume akiingia huku
Haha..!!
Sikumpiga cha mbavu bwaana! Nilijaribu tu kumueleza ukhalisia kuwa hapaswi kuamini kila soul humu.!!
Wewe naye husahau.!!?
 
Haha..!!
Sikumpiga cha mbavu bwaana! Nilijaribu tu kumueleza ukhalisia kuwa hapaswi kuamini kila soul humu.!!
Wewe naye husahau.!!?
Umenikumbusha mwenyewe ulivyomuita crushie
Hayo maelezo uliyompa ndo cha mbavu chenyewe
 
Back
Top Bottom