Boyfriend wangu ni mchafu sana

Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.

Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.

I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi.

Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki.

Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi.

Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.

I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).

Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.

He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.

Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda

Siyo kama nina generalize here....tabia hii wanayo sana Waha na watu wa Rukwa (Katavi na Mpanda)...wanapenda sana kutembea na nyota za wanawake zao, hivyo akilala na mkewe ama demu tu basi hiyo siku haogi mpaka apishane na watu barabarani. Muulizeni Zitto ama Diamond, watawaambia ukweli juu ya hili.
 
Ofcourse. Kina mama waleeni vizuri watoto wenu wa kiume. Mnatupa kazi ya ziada
Mama ananafasi kubwa yakulea iki kizazi, kulea kiimani na kimaadili na kuhakikisha watoto wanakuwa kwenye mazingira safi.
 
You can change him.Jaribu kumpangilia what to wear vile vile jaribu kumuelekeza jinsi ya kupanga chumba slow slow ataelewa. Kwa upole na kwa mapenzi ataweza tu dada. Ila mi natoa tu ushauri lakini kukaa nae mi menyewe i cant
Tatizo siyo kosa lake, inaonekana nyumbani kwao walikuwa wanaishi na ndugu zake wawili kwenye chumba kwaiyo kufanya usafi chumbani wanategeana inaonyesha walikuwa wanaish bila kufanya usafi chumbani kila mtu anamtegea mwenzake kwaiyo wakawa wanaishi ivyo na wakazoe uchafu wakaona nikitu chakawaida.
 
Huyo jamaa kifedha hatokuwa vizuri mana angekuwa nazo ungemvumilia
 
majamaa kama hao kichwan wanakua na uwezo mkubwa.. yupo jamaa niliishi nae chuo.. dah yule jamaa mpaka nilikuwa najisemea mke wake atakuja kupata shida.. nguo anatupa tupa tuu akivua.. zikichafuka (baada ya kurudia kama mara nne hivi) anamtafuta mama wa usafi amfulie.. hivyo!! ila ndie alietukimbiza kwa GPA those time! kwa sasa route zake ni za ughaibuni sana!!
.
.
njia ya pekee ya kuishi na hao majamaa ni kuwa wawazi kwao, na mfanye kazi pamoja azoee, coz hayo ninmalezi aliokulia hivyo kuyabadili kidogo inahitaji uvumilivu!!
 
I strongly disagree with this statement aisee..
.."wanaume wengi hatujaumbiwa usafi''...

Nakataa kabisa.

Iko hivi... Kuna kuwa dirty....na kuwa rough..

Most men are rough.. Mtu rough is not necessarily dirty na anarekebishika.

Ila Mtu dirty..typical dirty and filthy or ugly pia yuko rough. Habadiliki na ni vigumu kumvumilia.

Mi sio msafii Sana though najitahidi. Sirudii kuvaa Sox Mara mbili..huwezi kuta mguu wangu unatema. Never.

But I'm sometimes rough. Yani wakati mwingine huwa Nina mpangilio mbovu Wa vitu Ila si vichafu.
Japo sometimes huwa namind sana comments zako kwa thread zangu ila wacha hapa nijaribu tu kuwa mkweli you nailed it, that's the naked truth..!
 
Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.

Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.

I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi.

Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki.

Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi.

Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.

I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).

Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.

He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.

Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Nilivyoanza kusoma uzi nikajua unamuongelea baba mtoto wangu nini maana naye ni hatari. Nimeenda kumtembelea wiki iliyopita nyumba bora jalala vyombo vichafu vimeozea chakula mpaka vimepata funza. Namdekia nyumba hadi vyura wapo ndani na jongoo.Sema yeye kwenye kuoga yupo msafi ila rafu uvaaji wake. Kweli kuna baadhi ya wanaume ni wachafu mh
 
mwanaume akizidi usafi lazima atakua na tatizo tu..kama hajui kutafuta hela atakua hagongi sawasawa..mwanaume utawazaje usafi
 
I strongly disagree with this statement aisee..
.."wanaume wengi hatujaumbiwa usafi''...

Nakataa kabisa.

Iko hivi... Kuna kuwa dirty....na kuwa rough..

Most men are rough.. Mtu rough is not necessarily dirty na anarekebishika.

Ila Mtu dirty..typical dirty and filthy or ugly pia yuko rough. Habadiliki na ni vigumu kumvumilia.

Mi sio msafii Sana though najitahidi. Sirudii kuvaa Sox Mara mbili..huwezi kuta mguu wangu unatema. Never.

But I'm sometimes rough. Yani wakati mwingine huwa Nina mpangilio mbovu Wa vitu Ila si vichafu.
Inasemeka kuwa huyu jamaa ana soksi zaidi ya pea 20. Mi nadhani huyu no rough na sio mchafu. Suala la kutooga hilo ninamashaka nalo. Huwezi kubadilisha nguo kila siku usioge
 
Back
Top Bottom