Boyfriend wangu ni mchafu sana

Tatizo wanaume wanachagua yale wanayoona yanawafaidisha wao tu ila yale wanayoona hayawafaidishi kabisa wanasingizia kwamba yanataka kuleta matatizo kwenye tamaduni zetu na hapo ndipo shida ilipo
Mungu awasaidie tu kubadilika kwakweli, us as women is there anything we can do about it?
 
Kuna jamaa mmoja mtaani kwetu hua ana slogan yake kua mwanaume ni kunuka kama beberu
 
Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.

Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.

I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi.

Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki.

Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, Mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi.

Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.

I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).

Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.

He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.

Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Usimuache we ishinae tu atajifunza usafi kupitia kwako wewe.
 
Mungu awasaidie tu kubadilika kwakweli, us as women is there anything we can do about it?
Kwa kweli I don't think if there is anything we can do about it kwa sababu wanaume hawataki kukosolewa wala kuambiwa ukweli na wanawake yaani wameshajiwekea kuwa wao ndiyo wako sawa siku zote
 
Mbona hili tatizo dogo sana.
Kila mtu na mapungufu yake.
Kama unampenda kweli utamvumilia na ipo siku atabadilika.
 
Kwa kweli I don't think if there is anything we can do about it kwa sababu wanaume hawataki kukosolewa wala kuambiwa ukweli na wanawake yaani wameshajiwekea kuwa wao ndiyo wako sawa siku zote
Bora ukae kimya maana ukitia neno tu wanaanza kuona hiyo ni feminism inafanya kazi.!!
Sometimes silence is the best answer.!!
 
Kwa kweli I don't think if there is anything we can do about it kwa sababu wanaume hawataki kukosolewa wala kuambiwa ukweli na wanawake yaani wameshajiwekea kuwa wao ndiyo wako sawa siku zote
Of course we are the best ..siku zote tupo sahihi sema tunateleza tu kidogo
 
Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.

Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.

I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi.

Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki.

Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, Mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi.

Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.

I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).

Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.

He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.

Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Piga chini... Huyo sio binadamu wa kawaida. Hamna future hapo usipoteze mda
 
Nilipost huku kwa kujiamini BF hatumii Jamii Forum. Si kaiona Insta walivoipost kule😂😂😂 . Kaanza kujirekebisha. Ujumbe umefika japo indirectly.
 
Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.

Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.

I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi.

Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki.

Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, Mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi.

Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.

I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).

Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.

He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.

Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Uyo jamaaa kama mimi kabisa.... Ila mbona demu wangu hanisemi sana anasema tu kidogo sasa ww ushaleta uku jf
 
Back
Top Bottom