Ndiyo tabia zenu MATAGA unafanyia Wanawake hivo
Sent by IPhone
Sasa ulidate mume wa mtu ukitegemea nini? Pole.
Na usithubutu likuhusu kwa namna yoyoteMimi sijambo kabisa, na hilo jimbo halinihusu.
Just missed you.
Mpendwa Mambo ni yaleyale kuzaa bila utaratibu hapo unakuta karudi kwa sababu kazaa nae mambo ni randomly sana. Any way tufanye utaratibu wa kuishi kwa utaratibu.