Boyfriend wangu ameniacha, amerudi kwa mtu aliyezaa naye

Hujaweka sababu sasa hawez rud hiv hiv kuna kitu haya tuambie ukweli tukusaidie
 
Njoo babe tumkomoe...mwanahidhayaaaa yule...

Nakusubiri mwenyewe niko single.
 
Endelea kujikinga na corona sister angu.Huwezi jua Mungu amekuepusha na janga gani kubwa kuliko hilo la kuachwa.

sababu mtu mwenyewe alikuwa ni boyfriend tuu na si mume.Ila sema kama ulikuwa tegemezi kwake kwa 100% basi pole
 
Kama ni bango basi wadau waliona.
Huyo aliyezaa nae alimuoa au la.
Kama alimuo basi we ndo iliingilia ya watu, au la walikuwa wamegombana na sasa wameshasamehana.

Relax, jua wapi umekosea, rekebisha makosa, msubiri mwingine anakuja yuko njiani.
 
Nawewe rudi kwa jamaa aliyekutoa bikira ngoma iwe draw,
Au nicheki inbox kwa ushauri zaidi haiwezekani binti mzuri kama wewe uumie moyo wakati Mimi nipo,fanya haraka mkuu kabra wazee wa bandari hawajafika😂🤣
 
Back
Top Bottom