Boyfriend wangu ameniacha, amerudi kwa mtu aliyezaa naye

Kila nikifikiria kuwa na mahusiano na mtu mwenye mtoto tayari roho inakataa kabisa, haswa nikiona changamoto mbalimbali watu wanazo kutana nazo kwa hao wanaume. Ikitokea bahati mbaya nimeingia mkenge itakuwa sina jinsi.
Pole sana mpenzi utapata mwingine aliye sahihi huyo hakuwa riziki yako.
 
Wajameni naomba mnisaidie mawazo, kunipa moyo n.k.

Mimi nimeachwa na boyfriend wangu nilikuwa nampenda kweli. Ameniacha amerudi kwa mwanamke aliyezaa naye. Hapa roho inauma nahisi inataka kutoka.
Nitumie picha yako PM tuyajenge. Mimi mzoefu wa migogoro design hiyo
 
Wajameni naomba mnisaidie mawazo, kunipa moyo n.k.

Mimi nimeachwa na boyfriend wangu nilikuwa nampenda kweli. Ameniacha amerudi kwa mwanamke aliyezaa naye. Hapa roho inauma nahisi inataka kutoka.
Hebu jitathimi kwanza,huko nyuma kunarindima?,usije ukawa unalaumu watu kumbe shida iko kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeachwa na boyfriend wangu nilikuwa nampenda kweli. Ameniacha amerudi kwa mwanamke aliyezaa naye. Hapa roho inauma nahisi inataka kutoka.
Pole sana, hakuwa wa kwako huyo. Ni ngumu sana but niamini utapona, utasahau na hutaumizwa tena ila usije ukalipa kisasi kamwe.
 
Wajameni naomba mnisaidie mawazo, kunipa moyo n.k.

Mimi nimeachwa na boyfriend wangu nilikuwa nampenda kweli. Ameniacha amerudi kwa mwanamke aliyezaa naye. Hapa roho inauma nahisi inataka kutoka.
mpaka umeweza kuongea basi nakuhakikishia haitoki tena...
 
Utapata mwingine. Hao wanaume ni kama daladala kila mda linapita jingine

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
Back
Top Bottom