Boy child, no girl owe you a better life.

Boy child, no girl owe you a better life.

Hahah hao mabinti target zao kubwa ni watu wakubwa kiumri , wala vijana wa rika Lao sio shabaha yao kuu hasa kwenye mambo ya kuhudumia, nahili wewe unalijua fika .

Ila tembea kwenye vikundi vya vijana mika 20 mpaka 30 mawazo yao ni kuwinda mishangazi tu , hata humu mbona inaonekana mkuu?
Wapo mabinti ambao wanakua na expectation ya kupata provision kutoka kwa agemates wao wa kiume. Kuhusu marioo hata mimi sikubaliani nao
 
Tatizo kiswahili kina misamiati michache. Kesho nikiamka mida ya mchana pombe zitakua zishanitoka kichwani nitajaribu kutafsiri
We inawezekana ukawa mdogo wangu but when it comes to relationship advice uko vzr sana kichwani huandiki kwa kutumia hisia but you do it by reality bila kuangalia maumivu ya huo ukweli your on of the best member I have ever met in this forum congratulations
 
Mkuu upo nnje ya muda , ila mavijana mengi sasa hivi yanawinda wadada wenye kipato na kazi zao , ili yalelewe na kurahisishiwa maisha.

Note: vijana wakiume wanadanga kwa wadada vibaya sana , huku wewe ukikomaa kuwashauri vijana wa mwaka wa 47 , vijana wa kidigital wanachomoka na vitaulo kwenye nyumba za wadada wakicheza ps 24hrs.
😂😂😂😂😂😂
 
Kuna wanawake wana hela wapweke na wapo too desperate na ndoa, hapo sasa wale wazee wa vitonga/Mario wanapo iona fursa na wanahonga na ukitaka kumvuruga zaidi mtangazie ndoa, kuna wahuni wengi huwatambulisha mpaka kwenye familia zao ila ndoa noo.Ila wadada hao hao wakiwa wenyewe ndoa wanaziponda,ila mioyoni wanahitaji sana wanaume sema ndio hivyo wengi wao enzi za uzuri wao viburi/jeuri na umalaya vimewafanya wanaume wawakimbie, muda umefika nae anataka kusettle utawasikia "sasa hivi natavuja mwanamme mcha Mungu,aliye tulia mpole......" ndipo anakuja kupata Mario na vijana wanajua kunusa kwenye hela.

Ila mtoto wakiume fanya ufanyavyo, kula kwa jasho chini ya jua hakukwepeki,bora ujizoeshe kujituma kutafuta hela haijalishi kiasi gani bali ni hela unayo ipata kwa jasho na akili yako itakusaidia sana siku zako za uzee unapo anza kuingia mf Kuna mzee mmoja hapa nae story yake ilikuwa hiyo hiyo, kuwapanga wanawake wenye hela ndio zake, sasa hivi kazeeka hana ule mvuto, kachoka hana hela pamoja alikuwa anahongwa hela,yupo yupo tu.

So mapenzi na mwanamke itokee wote mna ile mutual feelings, hapo sawa ila sio unamfukuzia demu kisa anahela ,moyoni humpendi ila unajua ukiwa nae atakupa hela.Halafu vijana wakiume kaeni mkijua hela ya mwanamke haijawahi, kuwa tamu ni chungu mno ina manyanyaso, dharau ,masengenyo yaani hajawahi kuwa tamu na haitokuja kuwa tamu.Ndio maana humu kwenye ndoa, pamoja na mwanaume kumtunza mkewe na familia kiujumla, ila siku akipata changamoto na akamuomba mkewe kiasi kidogo cha hela, basi kaa ukijua huyo mwanaume kuna siku atailipa kwani deni na mwanamme hasimpomlipa tegema kununiwa, malamiko na kelele zisizo isha.
 
We inawezekana ukawa mdogo wangu but when it comes to relationship advice uko vzr sana kichwani huandiki kwa kutumia hisia but you do it by reality bila kuangalia maumivu ya huo ukweli your on of the best member I have ever met in this forum congratulations
Tuko pamoja mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom