Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,538
Mkuu nimekusoma aseii, doh.. Stick by big bro man, usimuache mwenyewe katika vita hii aliyonayo moyoni@Uso wa nyoka , @Daudi Mchambuzi , @mwekundu , @Born2xhine, @Raimundo, @Moisemusajiografii ,@jakichanii, @kijani11 ,@Molembe , @luckyline , @Zamiluni Zamiluni , @kkenzki , @chickmaget , @isambe , @kacnia, @gstar, @qmansome , @mtelewaedson , @upendodaima , @boniface salim, @little hulk
Jana Jamiiforums haikuwa hewani bwana,
Haya nshamalizia.
Aisee noma sana.... huyo manzi ataja kufa one day kwa stress@Uso wa nyoka , @Daudi Mchambuzi , @mwekundu , @Born2xhine, @Raimundo, @Moisemusajiografii ,@jakichanii, @kijani11 ,@Molembe , @luckyline , @Zamiluni Zamiluni , @kkenzki , @chickmaget , @isambe , @kacnia, @gstar, @qmansome , @mtelewaedson , @upendodaima , @boniface salim, @little hulk
Jana Jamiiforums haikuwa hewani bwana,
Haya nshamalizia.
So sad mr!Kuna jamaa alivyotaka kuoa mwaka jana akanisimulia madhaifu yote ya bi harusi mtarajiwa, nikamwambia kama vipi vuta subira kidogo ujiridhishe au utafte mtu mwingine. Jamaa akalazimisha.
Hadi tunavoongea dakika hii jamaa hana hamu maana mwanamke hashikiki and full dharau. Hana ujasiri wa kunisimulia yote ila anafanya mipango waachane. Nilichomshauri ni kuwa avumilie tu maana ndoa haivunjwi hadi kifo.
Nilichojifunza:
Usije ukajipa moyo hata siku moja kuwa eti atabaidrika. Never
Ni kama uoe mmachame eti sikuiz wako safi. (Natania)!!
Mimi nilidhani huyo bibi harusi ndio wewe. Kupugwa, kibuti siku ya ndoa sio masihara.Duh hadi mwili wangu wote umenisisimka kwa hii story...
I can not imagine... mkuu utupatie mrejesho unimention
Mimi nilidhani huyo bibi harusi ndio wewe. Kupugwa, kibuti siku ya ndoa sio masihara.