Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,696
- 225,406
🤣🤣🤣Usiruhusu shetani asababishe ugombane na baba mtumishi mkafunga mwaka vibaya😂😂
Hawezi kuchukia bwana.
Kwani yeye hataki mama mtumishi achangamke kidogo???
Nisapoti basi.
🤣🤣🤣Usiruhusu shetani asababishe ugombane na baba mtumishi mkafunga mwaka vibaya😂😂
Confirmed.....unaenda mbinguni LenieUsiruhusu shetani asababishe ugombane na baba mtumishi mkafunga mwaka vibaya😂😂
Finally nimeigawa.Confirmed.....unaenda mbinguni Lenie
Imeshindikana kwasababu anakupendaKabla hamjaacha ngoja na mama mtumishi ajaribu.
Sasa anaforce ruhusa ,maana ameomba kistaarabu imeshindikana🤣🤣
Huyo mgeni ameupiga mwingi sana kama 'supika'Finally nimeigawa.
Kuna mgeni amenitembelea nimemsakizia.
Ameinywa kama maji.
Imeshindikana kwasababu anakupenda
Kumbe hapa sio wa mwisho ndiye mshindi
Nimetamani sana ila ile harufu yake ikakata kiu na shauku yanguHuyo mgeni ameupiga mwingi sana kama 'supika'
Ewaaa, tukae kwenye soda tu maana hakuna namna nyingineNimetamani sana ila ile harufu yake ikakata kiu na shauku yangu
Nitaendelea kunywa fanta orange.
Ewaaa, tukae kwenye soda tu maana hakuna namna nyingine
Harufu ya kiulevi ulevi 🤣🤣Chupa yake inavyovutia sikutegemea harufu yake ingekuwa vile😒
Ile harufu na mimi ni mbingu na ardhiHarufu ya kiulevi ulevi 🤣🤣
Ndo maana utaenda mbinguni atiIle harufu na mimi ni mbingu na ardhi
Ndo maana utaenda mbinguni ati
Yote hii ni kunijaza upepo nisionje🤣Ndo maana utaenda mbinguni ati
I am so sure about this....siti yako ipo pale karibu kabisa na anapokaaga mtumishi mwenzetu Abigail aliyekuaga mke wa yule boya NabalYote hii ni kunijaza upepo nisionje🤣
I am so sure about this....siti yako ipo pale karibu kabisa na anapokaaga mtumishi mwenzetu Abigail aliyekuaga mke wa yule boya Nabal
Basi nna offa yakoNdiyo
That rsounds perfectly staged. Am also eager...Woow...!!!
It should start with an evening day out to a place where we,ll start with cherish then cheers 🥂 (Amarula, 4cousins, Robertson and Pearlbay, both sweet and red) then dancing 🕺 💃🏽 then carry me home .....😍
Eagerly waiting for the day, am ready are you...!!?😉