Wa mikoani tunakutumia mzigo gharama za utumaji ni juu yako, unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana na ndugu, rafiki au mtu wako unayemumini aliye dsm kisha unanipa namba yake pesa unamtumia huyu ndugu, rafiki kisha tunakutana namkabidhi mzigo au naenda nae mpaka ubungo nautuma au kama moyo wako upo na amani unanitumia mimi mwenyewe nautuma mzigo ...