Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,208
Huwa napenda Sana kuangalia animation kuliko muvi ,Anayezibeza cartoons namuhurumia tu.. Kuna animation nzuri sana na realistic like movie. Hawajajua kwanini animation zinapiga pesa ndefu Zaid
Daah sijapenda Sharon Carter awe adui kutokana na historia ya familia yake kuwa nzuri mfano aunt yake Peggy Carter alivyosaidiana na watu kama Howard Stark kupambana na Hydra kwenye ile season ya marvel agent Carter piaisaidiana na Steve Roger the former captain America nakadhalika hivyo kiufup sijaipenda ile end credit scene na uhusika alovaa kwenye hii season na pia ndo end credit scene ya Kwanza ya marvel kuwa disappointed nayoEp6 end credit scene inaonyesha Sharon Carter kawa adui na anaenda kukipenyeza kikundi chake as power broker ndani ya CIA
Habari njema ni kwamba Captain America 4 ishaanza kutengenezwa. Sam Wilson ndio kawa Captain America.
Hafu Thunderbolt wanakuja soon, unawajua thunderbolt??
Ana superpower ya telekinesis , ability of controlling and manipulating movement of objectsEbony Maw... Noma sana huyu jamaa hata hatumii nguvu sana kupambana ni kuamlisha tu kitu. Kiboko ya Doctor Strange
Alianza hivi.
Hear me and rejoice you have to the hands of children of thanos, Be thankful coz your meaningless life is now contributing...
Stark akamuwaha akamwambia..
I'm sorry earth is closed today you better back up and get out here.
Ebony Maw akamjibu...
Stone Keeper (Doc Strange) does this chartering animal speeks for you??π π
Hua nacheka sana hapa.
Sema tu nimepunguza mwanzo niliiua nakalili hadi dialogues.. Hasa kwenye Thor Ragnarok nilikua nimeikariri karibia nusu nzima ya muvi
Tony na strange ni arrogance Hawa watu wanaviburiEbony Maw... Noma sana huyu jamaa hata hatumii nguvu sana kupambana ni kuamlisha tu kitu. Kiboko ya Doctor Strange
Alianza hivi.
Hear me and rejoice you have to the hands of children of thanos, Be thankful coz your meaningless life is now contributing...
Stark akamuwaha akamwambia..
I'm sorry earth is closed today you better back up and get out here.
Ebony Maw akamjibu...
Stone Keeper (Doc Strange) does this chartering animal speeks for you??π π
Hua nacheka sana hapa.
Sema tu nimepunguza mwanzo niliiua nakalili hadi dialogues.. Hasa kwenye Thor Ragnarok nilikua nimeikariri karibia nusu nzima ya muvi
Kiumbe mashuhuri chattering animalchartering animal
ππππππYour Wrong
Ultron was there, Tony alimuomba Bruce msaada wa Kuintegrate AI aliluwemo kwenye Specter ambayo Avengers walikua wameichukua, Instead Ultron akatake over na kumuua Jarvis, na akajiweka kwenye zile Robots za Tony, Wakati Doctor alikua anafanya uwezekano wa kumcopy Ultron na kumweka kwenye Ule mwili unao evolve Mwili ukaibiwa na Avengers Tony akataka Kuuprogramm then wengine wakawa wanazuia Ndo thor akaamua Kuupower up na Matokeo yake akatokea Vison Na sio Ultron wala Jarvis
Watch scene Hapa;
The most strongest and powerful MCU hero ni Wanda yey anatumia chaos magic na alikuwa empowered na mind stone ilKuna watu mmewataja hapo siwajui kabisa
Gorr
Ronan
Yon Rog
Jean Grey
Carol Denver
Ni nan hawa?
Ebony maw anapower ya telekinesiswazee Kuna yule villain ana sura Kama samaki sijalishika jina lake kweny infinity war, alitumwa na Thanos kuja kuchukua time stone kwa Dr strange, naikumbuka Ile scene Tony akiwa na Strange, Master Wong na Hulk anamwambia the Earth is closed today. Naomba jina lake, aliwasumbua sana kila kitu anafanya kwa kusnap tu. nomA sana yule
Iko hivi tukio la avengers 2011 naweza sema ndio chanzo cha ultron coz,wale chitauries aliens walipoattack new york kuna wakati avengers walizidiwa then invansion ikawa inaingia mpak manhattan then us gvt wakaamuru new york ipigwe nyuklia nick fury akampa stark taarifa ,ikabidi stark alikamate lile kombora na kuiforce armour kupass its limits then alipofanikiwa kulitoa pale akaliacha likaenda kulipua mother ship ya hawa chitauri aliens ambayo ni kama commanding area then stark armour ikazima sababu ni e.m.p(electromagnetic pulses)zilizomo ndani ya nuclear missile ambaz zina coz things to stop working then akajua ni mwisho wake akagive up ,aliposaidiwa alipata ugonjwa uitwao(ptsd/post traumatic stress disorder,anxiety na depression) watch aveng 2012,then mwaka 2013 ktk event ya iron man 3 huu ugonjw ukakomaa akawa na wasiwas juu ya yeye mwenyew na dunia kuwa wako defenceless wanaweza kuwa attacked any time japo huu ugonjwa ulimpa uwezo uitwao (precognition) uwezo wa kutambua jambo kabla halijawa au kuexist ,ndio wakati aliotumia kucreate (Iron legions)wakiongozwa na jarvis kuna maneno alikuwa akisema kuwa (earth need armour) watch iron man 3......kati ya mwaka 2013-2014ndiyo wakat aliomtengeneza ultron ila part iliobaki ilikuwa ni kutafuta artificial intellegence itakayo faa kumbuka baad ya loki kupigwa scepter walipewa hydra(terrorist organization) kwa ajili ya kuitafiti hivyo opening scene ilikuwa ni kuvamia hydra base iliyoko novi radd sokovia watch avengers 2 ..then iron man alipoingia ndani wanda akamfanyia hypnosis /kitendo cha kuilaza akili yaan inaanz kufany kazi ndivyo sivy sababu(wanda na pacha wake pietro au quicksilver wanamhate tony ,sababu tony ni mfanya biashara alikuwa akitengeneza silaha na kuiuzia serikali but ata materrorist walikuwa wakinunua kwa siri bila ye kujua hivyo kulitokea vita sokovia wakati hawa mapacha wakiwa wadogo na silaha zilizotumika ni za tony hivyo walipoteza wazaz na kubaki yatima wakabeba grudge to tony and avengers wakaplan kuwa destroy) alipomfanyia hivyo tony wasiwasi ulaongezeka na akaanz kuona tena uvamiz wa chitauries na leviathans na akaona wenzake wote wamekufa huku cp america akimblame kuwa ameshindw kuwa saidia hivyo akaelewa kuwa dunia iko defenceless na itatokea threat ambay itaangamiz everyone kumbe bila kujua alikuw akiuona uvamiz wa thanos,,,sasa hii ikamfanya aichukue scepter na kutaka kuijua ina nini ili kama kunauwezekano aitumie kwa jambo lake,,,,,...sasa clint alipigwa laser ya ubavuni hivy wakamwit helen cho toka korea ili amtibie then tony alipotumia program ya ui ikamuonyesha kuwa kuna kitu ndani ya ile scepter alipomshirikisha banner akagundua kuwa mifumo ya ile scepter ni kama(neuro net) yaani inafanana na jinsi neuron network ktk central nervous system au brain bannet akasuggest kuwa it thinking its artificial intelligence,tony akamuomba waintergrate in threedays coz lengo lao limetimia hizo siku tatu tony ,jarvis,bruce wakaintergrate na wakasuceed ,sasa je ultlon ni nini Ultron /Global peacekeeping programm hii ni programm ilioanzishwa na tony kwa lengo la kulinda amani ya dunia kutoka terrestial(duniani) na extra terrestial (nje ya dunia) threats,tony alitaka hii programm iwe ya kujitegemea na sio iwe dominate pia iwez kucontrol iron legions π€―,sasa waliitoa Ai iliopo ndani ya scepter na kuintergrate kumbuka ilikuwa na mind stone (hii ina naturall intelligence) ,sasa tuendelee baada ya kumaliza part iliobaki ilikuwa ni ya jarvis hivyo wakamuachia yeye ,Sasa ultron alipoamka alikalibishwa na jarvis na kumuelekeza sababu za yey kuwa created (jarvis alimtell kuwa stark his creator ,create him for maintain peace on earth aliulizwa swali kumaintain nini) sAsa ili aijue sababu ya yeye kutaka ku maintain peace alianza kusoma historical events zote ziliexist duniani na akamjua kila mtu na kila kitu ndani ya secondsfew ,then jarvis akataka kumuita tony kwamba ultron amedistress but kabla hajafanya hivy akazuiliwa kisha ultron kwa hasira akamuua jarvis kisha akainfirtrate iron.legion na kuingia kwenye mwili ,baada ya thor kuharibu mwili wake akawa anakimbia kupitia internet hivy avengers wakashindwa kumtrack akaenda sokovi na iron legion moja na scepter akatengeneza mwili wake ,,je nini sababu ya ultron kuwa mbaya ?alivyosoma events zote za dunia aliona dunia si kwamb haina amani ila wanaoharibu amani ni.binadam wenyewe coz first second world war humans waliuwana wao kwa wao na vita zingine pia matatizo meng tu anasabsbisha human hivuo akaona human ndio tatizo la kutokuwepo kwa aman duniani hivyo akataka kuconduct genocide extinction itakayo angamiza human generation yote then akataka kutengeneza generation ya robots na kikwazo alichoona ni tatizo ni avengers .Sasa alipofuatilia maswala ya vibranium kwa ullysses claus ,akataka kutengeneza mwili utakao kuwa very powerful na more durable akamfuata helen cho ktk labs zake ,kwa kutumia vibranium,mind stone na cho machine (cradle of life or regeneration cradle) then avenge walipouchukua ule mwil ulokuwa ukievolve kiladay kumbuka jarvis alikuf lakin consiusness ilibaki(cerebral matrixes) hivyo wakaiweka plus knowledge ya tony na banner then thor akatumia elecricity kuualter ule mwili ndipo akatokea vision ...nini lengo la Ultron alitaka kutengeneza mashin itakayo beba ardhi ya sokovia mpaka kweny upper atmosphere halafu akiturn off ishuke kama asteroid then kil kishindo kikihit earthsurface hakuna hatakae survive ,,sasa mwili wa ultron ulikuwa uki haribika anaescape via internet ikabid vision aende kwanz ,akamshika sura na kublock internet ways na kumzuia asitoroke via internet then akafaint akaendelea kumtrack yeye na drones zake kuhakikisha haendi mbali na pale then avengers wakawin watch age of ultron endππππππ