Anayezibeza cartoons namuhurumia tu.. Kuna animation nzuri sana na realistic like movie. Hawajajua kwanini animation zinapiga pesa ndefu ZaidHawa jamaa wanajua kutengneza movie,imagine nilikuwa naangalia hiyo avatar siku moja,mzee wangu mwanzo akanicheka,na kebehi juuu โyaani wewe na ukubwa wote unaangalia cartoonsโ,ehehe siku hizi anaangalia mpaka Tom and jerry,anasema dah โkumbe ni mtazamo tu,kumbe sisi hatukufaidiโ
Full kumsumbua โalexaโ siku hizi๐๐
Kwanza kutengeneza animation ni ngumu zaidi kuliko movie aise.Anayezibeza cartoons namuhurumia tu.. Kuna animation nzuri sana na realistic like movie. Hawajajua kwanini animation zinapiga pesa ndefu Zaid
Sana mkuu..kuna kitu kinaitwa stop motion animation hii ndio ngumu zaidi. Unakua unachezesha kama unachezesha midoli sio kwa computer. Salute kwao Dreamworks animation na Pixar animationKwanza kutengeneza animation ni ngumu zaidi kuliko movie aise.
Jiandae kesho kuna Snyder Cut...[emoji1787][emoji1787]timu avengers hapa wa kufa na kuzikanana yaan mpak DC wakitoa kitu kikali moyo unaniuma wakitinyanga nafurahi kinoma
daa naomba mungu iwe kama wonder woman 1984 ile scene ya kwanza young diana nilipo ona tu nikasema leo team marvel tumekamatwa kuchek mbele ni utoporo mtupu ngoja tuone hiiJiandae kesho kuna Snyder Cut...[emoji1787][emoji1787]
Shida ya DC ni muvi zao zina giza jamani daah.. ukianagalia muvi za Batman VsSuperman, Justice League,Man of steel nk zote hizo ni giza. Hii ya kesho nimeangalia trailer zake zimenivutia ila ina giza sana jamani. Zack Snyder sijui kwanini anapenda kutoa muvi za giza hiviJiandae kesho kuna Snyder Cut...[emoji1787][emoji1787]
Binafsi nahisi nikioewa mtihani wa MCU naweza score B kama sio A. Hua nasoma maComics kabisa.timu avengers hapa wa kufa na kuzikanana yaan mpak DC wakitoa kitu kikali moyo unaniuma wakitinyanga nafurahi kinoma
Character ya Captain America inanfanana na Jon Snow..wote wanajali na kupenda haki na utu. Ndio character naopenda kuishi kama waoCaptain America
Dr Strange
Thor
Groot
characters ninaowapenda kuliko
Hujawahi penda muvi ukaiangalia zaidi ya mara moja?..Isitoshe miaka 2 ni muda mrefu kidogo..Ina mana wachina walikuwa hawajawai iona hyo avatar tangu 2019 asee
daa umenikumbusha watu wangu wa nguvuCharacter ya Captain America inanfanana na Jon Snow..wote wanajali na kupenda haki na utu. Ndio character naopenda kuishi kama wao
Binafsi nawapenda
Doctor Strange
Thor
Captain Marvel
Black Panther
Kwanini vision alibadikika na kuwa kama binadamu wa kawaidaBinafsi nahisi nikioewa mtihani wa MCU naweza score B kama sio A. Hua nasoma maComics kabisa.
DC kwa muvi hawawezi kutufikia kwa muvi hata wafanyaje wanatudhinda kwenye series, animation nk. Ila kuanzis mwaka huu tutawashinda vyote...
Ili nishabikie mpira labda MCU ife๐
Baada yaBruce na Tony kupata ile Stone aliyokua anatumia Loki kubadiriaha watu Tony aliichunguza akaona ipo kama alogalithm Tony akamuomba Bruce amsaidie kutengeneza Artificial Intelligence nyingine iitwayo Ultron kwa kutumia stone ya loki.Kwanini vision alibadikika na kuwa kama binadamu wa kawaida