mkuu box zote duniani nafkiri zina crack, kama upo serious sana nakushauri nunua box sababu ni bora zaidi kama unajua unalolifanya unaweza download crack zake ila jua haya
-crack ni kama virusi ant virus zinadaka file la crack unatakiwa ujue kuzima ant virus na kueka exception ant virus isi scan folder ambalo utaeka mabox yako ya kucrack
-crack za box huwezi ku update, kukitokea tatizo jipya utapata software update ya box lakini ukiwa na crack version itabidi usubirie hadi software mpya nayo iwe cracked hivyo fundi mwenzako mwenye box la kweli anaweza kukupita kwa kazi fulani.
kama unataka nitajie box unazozitaka nitakuekea links zake