Bila kutukanwa hatutatoka tulipo,Trump yuko sahihi kama vipi wachukue maamuzi magumu waandamane warudi nchini mwao Africa na Haiti..wasiporudi trump yuko sahihi
hahahahahahahahaha...mental degradation!
MkuuWapo watanzania wengi wanafurahia na kutetea kuitwa shit holes.Kujikomboa toka kwenye Utumwa wa kifikra ni kazi kwelikweli.
Ubavu tunao tatizo wanaotuongoza wana fikra za kitumwa,tukikataa misaada yao hatutakufa,shida zikizidi zitafanya tutafute suruhu,Waafrika tutakubali kutukanwa maana hatuna ubavu wa kubishana na hawa jamaa
Karne ya 17Hujitambui Ndugu.sijui unaishi karne gani kimawazo
hakika wewe ni mchafu zaidiNi kweli Waafrika ni watu wachafu sana.
Mkuu kwanini kila kitu kitafsiriwe CCM au CDM hivi kweli watanzania hawana muamko mwengine kiakili?Mkuu dunia ina mambo mengi sana ya kufanya badala siasa,.....Sema mkuu umezidisha tusi,
Nadhani wewe ni mmoja wa wavurumisha propaganda wa kijani wanaotupotoshaga daily,
Tusi halikuwa hivyo,
Labda umejinukuu ulivyo ukaamua kubambika
Kurudisha mabalozi nyumbani itasaidia kushinikiza Trump aache kudharau Nchi za Kiafrika,Nchi ya Marekani na Ulaya ya Magharibi ni mahodari sana wa kuweka vikwazo vya uchumi kama kuna nchi inafanya wasivyotaka wao...Kwani sasa ni wasafi?
Usafi wenu uko wapi?
Watu mmejaa uwongo uliokithiri. kuoneana kusikotamkika, hamuwezi kujitawala, hamthaminiani, mnapigana risasi hadharani na bado mnaidhinisha uonevu huo, viongozi wenu wanaidhinisha uvunjivfu wa amani na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Hata sheria za nchi mliozojiwekea mnauhuru wa kuzivunja hadharani na kisha kutumia mabavu kulinda uvunjaji huo, hamtaki kufanya yale watu wengi wanataka ambayo ni bora kwa ustawi wa taifa badala ayke mnafanya usani i kwa maslahi ya watu wachache. Mnatumia ujinga wa binadamu kama nyenzo ya kuwatawala kwa maslahi yenu.
AU UNADHANI TRUMP AMESEMA HAYO KWA KUMANISHA USAFI WA NGUO NA MWONEKANO WA RANGI?
DAWA NI SIYO KUFUNGA UBALOZI. KUFUNGA BALOZI HAKUFENYI MUWE WASAFI. NI KAMA VILE KUMUUA TUNDU LISU AMBAVYO HAKUJATUPATIA NOAH KILA MTANZANIA, HAKUJAFANIKISHA KULETA NDEGE YETU HAPA NYUMBANI, HAKUJAPUNGUZA UGUMU WA MAISHA.
MKITAKA KUONEKANA WASAFI, ISHINI MAISHA SAFI NYUMBANI KWENU. MSITAKE KULAZIMISHA WATU WAWAITE WASAFI WAKATI MNASHEHENA CHAFU MIOYONI MWENU HUKU DAMU ZA NDUGU ZENU ZIKIWALILIA.
Ni tabia ya kila mtanzania kuwa na nidhamu ya woga,nafikiri Watanzania ni watu wa mwanzo dunia kuwa na nidhamu ya woga....,Halafu watu kma wewe huwa mnaongelea tu kwenye keyboard, fanya kwa vitendo hlf uwe msitari wa mbele tukuone mkuu, napenda watu wenye mawazo mazuri kma haya lkn kwa vitendo siyo kutanguliza wenzenu.
Upo sahihi lkn kwanza kubali ulilizoom tusi kwa sababu unazozijua,Mkuu kwanini kila kitu kitafsiriwe CCM au CDM hivi kweli watanzania hawana muamko mwengine kiakili?Mkuu dunia ina mambo mengi sana ya kufanya badala siasa,.....
Watanzania mmegubikwa na siasa za CCM na CHADEMA,mimi mkuu sio wa kijani wala wa blue mimi ni mimi,siasa yangu kubwa ni kutafuta pesa ile nihudumie familia yangu...
Hujazaliwa jana, hebu anzisha basi kwa vitendo mi niko nyuma yakoNi tabia ya kila mtanzania kuwa na nidhamu ya woga,nafikiri Watanzania ni watu wa mwanzo dunia kuwa na nidhamu ya woga....,
Umeanza kuogoba hata hujaingia huko barabarani,kusoma tu hichi nilichokiandika tayari,surwali imeroa wa mikojo,nidhamu ya woga ni adui wa maisha,adui wa maendeleo..
Nchi na watu walioendelea kwanza wamejitolea muhanga, wameondoa woga ndio wakafanikiwa kwa kile wanachokifanya
Asiyejua maana usimwambie maanaInaonekana huijui Botswana kumbe, ni moja ya nchi zilizopiga maendele zaidi kwa sasa ni nzuri kuliko south, na kwa demokrasia ndo usipime.
Ondoa itikadi uchwara na propaganda tumika,humu tunajadili upana wa jambo zaidi ya itikadi za kitumwa,Watz kujidharau! Haya, akitokea mtu kama JPM anayeonyesha nia ya dhati kuipeleka Nchi ifanane na hizo za wenzetu. Maneno. Tusijinyanyapae! Unadhani wazungu walifika walipo kwa mzaha? Watu wengi hata walikufa. Someni historia ya mataifa ya Dunia hii. Ni vita. Oh. uchumi unaporomoka! Ni lazima uporomoke. Ni nadharia rahisi, mtu mwenye hekima akiamua kujitegemea chakula hutumia hata mbegu za chakula kupanda shambani na haimtishi kwani anajua njaa hiyo ni ya kitambo tu. Tumuunge mkono JPM, nyie akina mangi. Dhiki hii ni ya kitambo tu. Kweli tuliopo pengine na hata watoto wa wajukuu zetu watakuta bado msingi haujaimarika. Tusikate tamaa. Tuache ubinafsi.
Dharau haiishi kwa wao kuacha kututukana midomoni,Kurudisha mabalozi nyumbani itasaidia kushinikiza Trump aache kudharau Nchi za Kiafrika,Nchi ya Marekani na Ulaya ya Magharibi ni mahodari sana wa kuweka vikwazo vya uchumi kama kuna nchi inafanya wasivyotaka wao...
Wakiona vikwazo vya uchumi havifanyi kazi kwa nchi husika huwa wanatumia mpaka vita ili nchi husika ikae kwenye mstari,huo ndio ukweli kaka