Botswana waichana live USA

Mwambie mchina na mrusi
Acha kujichukia kijana
Nakupa amri JITHAMINI
Nimwambie nini Mchina na Mrusi wakati mada inazungumzia Uchafu wa Mwafrika kama alivyozungumza Trump?

Trump hakuwahi kuwaita Warusi na Wachina shitholes.
 
Roho ya Nyerere iko wapi jamani?
 
Nimwambie nini Mchina na Mrusi wakati mada inazungumzia Uchafu wa Mwafrika kama alivyozungumza Trump?

Trump hakuwahi kuwaita Warusi na Wachina shitholes.
naona hunielewi na wala hutakaa unielewe!
tuishie hapa!
Ngoja nikachukue mapesa yangu ya biashara
Mie!
Bye bye
 
Umeelewa point yangu hapo?

Marais wote waliopita wa Marekani walikuwa na Uzalendo haswa na ni viongozi kwelikweli sio UCHWARA mkuu.

Kutoka kuwa koloni la muingereza mpaka kuwa super power na kuitawala dunia si lelemama.
Wote walikuw wazalendo? Unaumri gani? Marais 44 wote unawajuwa mkuu?
 
Ww na mwenzako AMAHORO mnanuka damu ya mauaji ya kikabila ndo maana nasema, mrudi kwenu,laana ya UKABILA msituletee
Mpalestina ni nani
Mwisraeli ni nani
Mmarekani ni nani
 
Halafu watu kma wewe huwa mnaongelea tu kwenye keyboard, fanya kwa vitendo hlf uwe msitari wa mbele tukuone mkuu, napenda watu wenye mawazo mazuri kma haya lkn kwa vitendo siyo kutanguliza wenzenu.
 
Wote walikuw wazalendo? Unaumri gani? Marais 44 wote unawajuwa mkuu?
Unawajuwa -> Unawajua

My age has nothing to do with this thread...cha muhimu ni points n opinions.

Wewe unakusudia kusema nini?
 
Mkuu...kurudisha mabalozi wetu back home na kufunga balozi zetu USA sio solution sababu mwisho wa siku....tunawahitaji wao kuliko wao wanavyotuhitaji sisi
 
Halafu watu kma wewe huwa mnaongelea tu kwenye keyboard, fanya kwa vitendo hlf uwe msitari wa mbele tukuone mkuu, napenda watu wenye mawazo mazuri kma haya lkn kwa vitendo siyo kutanguliza wenzenu.
Au hata akamjibu Trump via tweeter.
 
Tuoge mfano wa botswana, vyuma tumevizoea hata wakikausha msaada poa tu tutakula ata maparachichi
 
Tuoge mfano wa botswana, vyuma tumevizoea hata wakikausha msaada poa tu tutakula ata maparachichi
Kambarage spirit
Ubarikiwe sana
Pesa watatupa na wakitutukana na sisi tuna watukana
Dadeki zake zezeta babu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…