Botswana waichana live USA

Sijui alimaanisha nini, ila kama ni hii ninayofikiri mimi, yuko sahihi, japo kauli yake ni kali mno
 
Kabisa Mkuu, na hatupendi kuambiwa Ukweli.

Maajabu, badala sisi tuanze kuwalaumu hawa viongozi wetu uchwara tunamlaumu Trump.
Hata nikikosea namna gani
Siwezi kukubaliana na jirani yangu kunitusi hata siku moja
Nitajirekebisha lakini sikubali kunenewa vibaya
Especially na mzoga kama hilo zezeta
 
Trump hana capacity ya kuona hiyo tofauti
Yeye ni mwendawazimu tu!
Sawa kabisa.hakuna haja ya kuwatukana watu.
Kitu haukitaki sema haukitaki.ila si kutukana.mbona wamexico kila siku wanaingia USA.na hasemi kitu.
Alitaka kujenga ukuta Leo hii huo ukuta upo??
 
Trump ni kichaa paseee
Kwani marekani imetokea wapi?
There's time for everything under the sun
Huo ukichaa wake uliupima ukaprove?

Marekani ilitokea kuwa koloni la Muingereza miaka ya 1770, lakini nchi ilikuwa na progress nyingi zinazoonekana na uzalendo wa kweli na maendeleo yalionekana kiiila baada ya muda mfupi inawezekana ni kila baada ya siku moja ama wiki moja kwakuwa kila kilichoanzishwa kilitunzwa na kuboreshwa.

Sisi tuna zaidi ya miaka 55 ya Uhuru ila bado tunatumia vilivyoanzishwa na Wakoloni.

Na bado ni Watumwa wa fikra na mali mpaka kwa Wahindi.
 
Watutsi bhana,nyinyi juzi hapa mmeuana kwa ukabila unathubutu kujiita eti msafi?hako kainchi kenu kanalingana na mkoa wa Mara kana nn?rudi kwenu,usituletee laana ya ukabila kwenye nchi yetu.
Kuna watu walio uana kama majitu meupe huko Europe
Rudi kwenye history ndugu yangu
 
Na marekani wana zaidi ya miaka 400
Ehhh jamani!
 
Trump ni ma drugs na ndumu ndo zina mpelekesha hivyo sio yy, ni ma stimu babaako
 
Ameongea ukweli , waafrika ni wachafu ma ni mabwege
 
Hata nikikosea namna gani
Siwezi kukubaliana na jirani yangu kunitusi hata siku moja
Nitajirekebisha lakini sikubali kunenewa vibaya
Especially na mzoga kama hilo zezeta
Trump sio zezeta ndio maana hata akiwatusi Afrika nzima hakuna wa kumfanya chochote...zaidi ya kulaumu tu. [emoji23]

Halafu aidha ukubali au ukatae tayari keshawatusi na si mara moja na dunia imesikia.
 
Sawa kabisa.hakuna haja ya kuwatukana watu.
Kitu haukitaki sema haukitaki.ila si kutukana.mbona wamexico kila siku wanaingia USA.na hasemi kitu.
Alitaka kujenga ukuta Leo hii huo ukuta upo??
Zezeta hilo babu
Ni la kupuuzia tu
 
Trump sio zezeta ndio maana hata akiwatusi Afrika nzima hakuna wa kumfanya chochote...zaidi ya kulaumu tu. [emoji23]

Halafu aidha ukubali au ukatae tayari keshawatusi na si mara moja na dunia imesikia.
Si lidomo lake ndiyo limeharisha
Kwani kutukana sifa?
Mwehu babu yule
Nasikia mara nyingi anasahau kuvaa nguo inabidi avishwe hahahaha
 
Na marekani wana zaidi ya miaka 400
Ehhh jamani!
Umeelewa point yangu hapo?

Marais wote waliopita wa Marekani walikuwa na Uzalendo haswa na ni viongozi kwelikweli sio UCHWARA mkuu.

Kutoka kuwa koloni la muingereza mpaka kuwa super power na kuitawala dunia si lelemama.
 
Si lidomo lake ndiyo limeharisha
Kwani kutukana sifa?
Mwehu babu yule
Nasikia mara nyingi anasahau kuvaa nguo inabidi avishwe hahahaha
Kumbe unasikia tu huna ushahidi?

Hizi dua za kuku hazimpati mwewe. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umeelewa point yangu hapo?

Marais wote waliopita wa Marekani walikuwa na Uzalendo haswa na ni viongozi kwelikweli sio UCHWARA mkuu.

Kutoka kuwa koloni la muingereza mpaka kuwa super power na kuitawala dunia si lelemama.
Mwambie mchina na mrusi
Acha kujichukia kijana
Nakupa amri JITHAMINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…