Botswana waichana live USA

Na mimi ndo nakuuliza unajua wazungu wakinya wanatumia nini kujisafisha?
Wanatumia mabunzi?
Sijui wanatumia nini kwakuwa sijawahi kuwachungulia

Wewe ulimshuhudia Trump akitumia karatasi?
 
Sijui wanatumia nini kwakuwa sijawahi kuwachungulia

Wewe ulimshuhudia Trump akitumia karatasi?
Hilo halina ubishi.kama sio makaratasi bhas atakuwa anachambia headdick ya makamu wake wa rais.f*ck trump.
 

Habari inayozungumzia hatua ya Botswana kumrejesha balozi wake nyumbani umeisoma wapi? Press Release uliyoambatanisha hapa haisemi hivyo! Ni tatizo la lugha au willful distortion?
 
Duuh...hivi una ushahidi na haya?

Hujasukumwa na chuki dhidi yake kuyasema haya mkuu?
Mzungu,mwarabu HAJAWAHI KUMPENDA MWAFRIKA WALA AFRIKA.
SINTOKUJA KUSIMAMA UPANDE WA MZUNGU WALA MWARABU KATIKA MAISHA YANGU.
Wazee wetu waliteswa na hao watu.
Wakauzwa marekani na ulaya kufanya kazi kwa mateso makubwa.
SIWEZIIIIII.
nitakutana nao kwenye imani yangu ya uislam basi.
 
Ni sawa, ila mimi nawalaumu zaidi Watu weusi kwa kukubali kufanyiwa hayo yooote kutokana na Ujinga na Uzembe.

Okay, walitufanyia hayo wakati wa ukoloni kutokana na Ujinga na Uduni wetu kwa wao kutuzidi Akili na Maarifa.

Je haya wanayotufanyia leo ni kutokana na nini? Hujui ni Allignment ya Viongozi wetu wa kiafrika kwa hao hao Waarabu na Wazungu?

Kwani hata sasa Waafrika wapo huru?
 
Tumuwekee vikwazo tuu,yeye mwenyewe hatumii maji anatumia toilet paper.
 
Sawa nakubali yote.HATA HIVYO SIO SABABU YA YEYE KUTUTUKANA.
VINGINEVYO ATAKUWA NA SABABU ZAKE BINAFSI.kwanini atutukane?kwanini atuchukie?hajui kama waafrika na afrika na wameijenga marekani?
 
How good and how pleasant it would be before God and men, to see the unification of Africans, as it has been said already, Let it be done.
We are the chidren of the Rastaman,
We are the chidren of the Higherman,
So Africa unite, coz we are moving right of
the babylon and we are going to our
Fathers land.
Unite for the benefit of your people,
Unite for the benefit of your children
-By late Bob Marley
 
Siyo kwamba yamemuishia Mkuu hajawahi kuwa nayo maneno ya ushawishi. Yeye ni chuki za kutisha, kufoka foka kuweka mikwara, visasi na kudharau taasisi mbali mbali za Serikali.

Kuna mwenzake huku kaona maneno ya ushawishi yameisha kaamua kutumia pesa
 
Bila shaka Waafrika tumepata jina lingine jipya la kututambulisha miongoni mwa mataifa mengine duniani. This time imetuuma zaidi maana jina lenyewe limekaa vibaya. Naomba wataalam wa Kiswahili watusaidie tafsiri nzuri na fupi ya hili jina jipya la ubatizo wa Trump. Majina kama THIRD WORLD COUNTRIES, LEAST DEVELOPED COUNTRIES (LDCs), HIGHLY INDEBTED POOR COUNTRIES (HIPC) hayakuwahi kutuuma sana kama hilinla sasa. Je ni kwanini hatukuumizwa na haya majina tuliyopewa huko nyuma? Kwani yalikuwa mazuri sana ? Nini kifanyike kukomesha hii tabia ya kubatizwa majina mapya kila wakati wazungu wanapojisikia?
 
Wao ndo wanaotakiwa kuanza.Wanaumizwa nini na afrika?
Wakati wao ndo chanzo cha vita za afrika Ili wauze silaha zao na madawa yao?
 
Trump yupo sahihi kitendo cha Li Ccm kuendelea kurubuni wapinzani (chadema) kwa shekeli kimemkera ....!
 
Sawa nakubali yote.HATA HIVYO SIO SABABU YA YEYE KUTUTUKANA.
VINGINEVYO ATAKUWA NA SABABU ZAKE BINAFSI.kwanini atutukane?kwanini atuchukie?hajui kama waafrika na afrika na wameijenga marekani?
Hiyo kututukana ni kuthibitisha kutudharau...kwsbb Waafrika wengi wana sababu nyingi za kudharauliwa, hasa viongozi.

Tofauti ya Trump na wazungu wengine ni kuwa yeye si Mnafiki, wazungu wengine wanatuchukia sana na wanatutukana mioyoni si mdomoni.

Bora awe adui yako wa wazi kbs kuliko wa kisirisiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…