Botswana waichana live USA

Wamarekani watakuwa ni matahira wakubwa kama watamchagua tena Trump baada ya miaka minne,hakuna kitu kinachoniuma kama Marekani kujitoa kwenye mkataba wa joto wa Paris!
 
Hujui alichomaanisha Trump sio uchafu wa mto wala mwili, uchafu anaosema...ni..

Nchi kutoheshimu Katiba zao..
Kutoheshimu utu wa mtu..
Nchi kuwa na raslimali nyingi lkn bado ni ombaomba..nk.
 
Naona unanitajia rasimali na maliasili tulizonazo watanzania.

Hujasema ni jambo lipi tumeligundua na jamii ya kimataifa inafaidika kwalo na limesaidia kuinua maisha ya watanzania(sio maisha ya watawala)
 
Kwani ni uwongo mkuu?
1. Zimbabwe Rais katolewa kwa nguvu
2. Rwanda, Burundi
3. Uganda wapipisha kisheria juzi Kati
4. Kenya wanataka kuapisha marais 2
5. Kongo hawataki kuachia madaraka
6. South Rais kajenga kijiji
7. Tanzania nisiseme tu jamani

Mkuu sisi mbona katusifu jamani amna kitu sisi mkuu
 
Huo msimamo wa Botswana ndio wa kiume, na wanaomsifu trumpet ni ujinga tu, hao ndio wanaotukaniwa mama zao na dada zao wanachekelea, eti kisa wanamapungufu kadhaa. Unaporuhusu mpuuzi kama huyu atutusi atazoea, pale walipo wamefika kwa kuiibia Afrika hii hii wanayosema ni shimo la mavi, mshenzi sana yule
 
Truth is not racism
 
TRUTH IS NOT RACISM.

The Idea that we should accept it as true is absurd
Its the same Idea that what he uttered is true, and not what he is claiming "Never said anything deragatory" is the truth

The truth shall remain...his belief that we are not anything human but Shit! is Racism
 
Wasemaji wa chama chake na serikali hawajitokeza kurekebisha kauli ya bwana mkubwa na kuwapinga wanaopingana na kauli?
 
Yani mkuu umemaliza kila kitu.Bila kusahau watu wanasema mikutano ya Siasa imezuiwa lakini wao kila uchwao wanafanya tena waziwazi mtu ukisema unaambiwa wewe mchochezi. Pesa zinatumika hovyo hazipitii bungeni zinaenda kujenga viwanja vya ndege sehemu ambayo utakua ni hasara tu lakini ukisema inaitwa wewe sio mzalendo.
Watu wanaokotwa baharini wamefungwa kwenye viroba,hakuna uchunguzi wowote unaoendelea. Mwananchi kusema maisha magumu ni kosa (vyum a vimekaza) kiongozi anakutishia jela.
Halafu watu wakiambiwa ukweli wanalalama,mnalalama nini!? Ukweli ndo huo,na ukweli kila siku lazima uume.
 
Tanzania pyu pyu pyuu
 
AFRICAN COUNTRIES ARE SHIT HOLES
 
Naomba majibu. Hivi africans tuna jambo lipi ambalo tumeligundua na tunaweza tukatunisha kifua mbele ya jamii za kimataifa kwamba sisi waafrika ni wanzilishi wa jambo hili
Usifosi kutafuna muwa kwa mata.ko, nchi nyingi tu hazijagundua chochote na zinasonga, talanta haifosiwi. Usitake kudhalilisha waafrika kisa hawajagundua kitu, unafikiri nchi zote zilizomo katika list ya developed countries zimefanya ugunduzi? Jithamini mwana, kwasababu kutojikubali na kukubali kudharauliwa hakukubadilishi kuwa mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…