DON KILLUMINATI
Senior Member
- Jan 2, 2011
- 192
- 83
WATU 10 WAMENUSURIKA NA WENGINE WAWILI HAWAJULIKANI WALIPO, ILIKUWA INATOKA ZANZIBAR KWENDA PANGANI.
Source: ITV
NOTE:
Nilianzisha thread kwamba nimeota meli imezama Zanzibar baada ya sikukuu, na nikatoa maelezo ya kutosha lakini mods wakaitupa kapuni thread yangu.
Kwa kuwa ndoto ile imekuja kuwa ni kweli, mods fanyeni mpango muirudishe.

Aisee baba yangu embu
acha uvivu 2ambie hiyo boti ilikuwa inatoka wapi kwenda wapi na imezama
maeneo gani saa ngapi
naenda kunjwa mbege nitarudi,,nikute majibu