fangfangjt
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 571
- 139
ITV Breaking News:Jahazi inayosadikiwa ni ya wavuvi iliyokuwa na takribani watu 30 inateketea kwa moto katika bahari ya Hindi eneo la Mtukule.Mashuhuda wamedai abiria wanajitupa majini
teeeeh ....nchi hii bana...yaani majanga mwanzo kati mwisho..sasa hawa wanajitupa majini kukwepa moto majini sasa wanajua kuogelea au wanajitupa tu !!!! poleni abiria mnaojitupa majini
Well said Mwali.Another test for our emergency response. Mungu awe nasi...
Well said Mwali.
Vyombo vyote vya majini vinatakiwa kuwa na gadgets za kutransmit distress signals, at least signal hizo zingeweza kupokelewa na boat au meli iliyopo jirani na hapo, kabla hata Emergency responding team haijafika eneo la tukio.
Dah Mungu awasaidie watoke salama hawa ndugu wavuvi